tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Sasa huwa Kuna kupiga kura chadema? Lema anaongea uhalisia kule viongozi wanawekwa na mwenyekitiMakamu mwenyekiti anapigiwa Kura
uyu tapeli hata sura yake inaonyesha ana hatia
Kama hujui uliza kistaarabu upate faidaMakamu mwenyekiti anapigiwa Kura
uyu tapeli hata sura yake inaonyesha ana hatia
Jamaa mataqo kweli, sasa hapo anasema hivyo ili iweje kwa mfano??Haya ni masuala ya ndani ya chama. Anayatoa nje ili iweje?
Bora hukuwa wewe jitu la tamaa kama weweWakuu,
Mwanasiasa Godbless Lema ameeleza kuwa Tundu Lissu alimtaka yeye agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti (Bara) badala ya John Heche, lakini alikataa nafasi hiyo ili kulinda mshikamano wa chama.
"Wakati wa kuulizwa anayetaka kugombea, chaguo la Lissu ilikuwa ni mimi Lissu akaniambia: 'Lema gombonia Makamu Mwenyekiti nataka Makamu Mwenyekiti kutoka kaskazini, nakutaka wewe.' Nikakataa... Nikamwambia Heche: 'Usifanye kampeni... mimi nakuja Tanzania... lala ndani, njoo ukumbini na machela siku ya mwisho, hii kampeni utashinda.'"
Kama ccm ilivyotekwa na wazanzibarLema amesaidia sana kuanika jinsi chadema ilivyovamiwa na kutekwa na washamba wa vijijini
Angalia waliokuwa na chadema wengi wapo kimya kina Sugu, Mdee, Mbowe, Boni yai, mpaka hata Muanzilishi Edwin Mtei alijikalia kimya mpaka alipofariki
Kwa kweli hiki chama kimevurugwa na hakifiki mbali
Chadema mpaka walikuwa na asilimia 31% ya Bunge, na ilikuwa burudani kusikiliza mijadala ya Bunge
Kwa kweli hamtafika huko tena, endeleeni kuombea watu vifo mkidhani ndio mtaponea kushika nchi hao ccm wakifa, badala ya kujipanga
View attachment 3702943