Umenisaidia kukamilisha nadharia yangu kuwa nyinyi ndio wafuasi wa chadema leo hiiKama ccm ilivyotekwa na wazanzibar
Eti chadema ya sasa inadharaulika 😆 😄 😄 are you seriousUmenisaidia kukamilisha nadharia yangu kuwa nyinyi ndio wafuasi wa chadema leo hii
Ndio maana neno "Nyumbu" likaibuka hivi karibuni, zamani wafuasi wa chadema walikuwa wote wasomi kweli na wakali hasa kwenye mijadala ya kisomi huwa hawajibu kirejareja kama nyinyi nyumbu wa leo, kwa kweli mmedharaulika sana
Waulize chadema kwa nini hawafanyi mikutano yao DarEti chadema ya sasa inadharaulika 😆 😄 😄 are you serious
Watu kama wewe ndiyo mnaofanya ccm idharaulikeWaulize chadema kwa nini hawafanyi mikutano yao Dar
Wanakimbilia maporini ambako watu huko hawana NIDA wala kitambulisho cha kupigia kura
Wanajaa tu na kushangilia lakini uhalisia ni zero
Unadhani kukataa kushiriki hujui kama ulikuwa mkakati kwa kujua watapoteza na kudharaulika bora wakatae ili waonekane wabishi ?
Kwani wewe unaishi mapori ya wapi ?
Nina uhakika haushi Dar wala Mwanza wala Arusha wala Mbeya mjini(kijijini kikubwa)
Umeongea kitu kinaitwa Reverse PsychologyWatu kama wewe ndiyo mnaofanya ccm idharaulike
Maana yake huyo ni mjanja na mtoto wa mjiniLeo ndo nimethibitisha kuwa lema alikuwa mwizi wa magari ngarenaro.
Anatapa tapa, arudishe pesa za Dullah, na ajiondoe chamani.Mangi anachamba umbea
🚮Umeongea kitu kinaitwa Reverse Psychology
Yaani watu kama nyinyi ndio mnasababisha ile chadema ilikuwa mpaka na wabunge zaidi 80 bungeni na wenye ushawishi kupinga bajeti, leo mmeivuruga mpaka hata hamkubaliki tena zaidi ya makelele mitandaoni.
Definition of Nyumbu
Hajasema ni nani anaemlipia Sea crif HotelAnatapa tapa, arudishe pesa za Dullah, na ajiondoe chamani.
Meku kafika bei Alooo
Aliyeharibu Chadema na upinzani ni CCM chini ya magufuli, si alisema wakurugenzi wakitangaza upinzani, watatafuta wa kuwalipa mishahara, LolUmeongea kitu kinaitwa Reverse Psychology
Yaani watu kama nyinyi ndio mnasababisha ile chadema ilikuwa mpaka na wabunge zaidi 80 bungeni na wenye ushawishi kupinga bajeti, leo mmeivuruga mpaka hata hamkubaliki tena zaidi ya makelele mitandaoni.
Hajasema. 😂😂😂Hajasema ni nani anaemlipia Sea crif Hotel
Jinga kabisa, yani bora lisingefungua domo lake..!!Anatapa tapa, arudishe pesa za Dullah, na ajiondoe chamani.
Meku kafika bei Alooo
Huyo mwehu hata mimi simkubaliAliyeharibu Chadema na upinzani ni CCM chini ya magufuli, si alisema wakurugenzi wakitangaza upinzani, watatafuta wa kuwalipa mishahara, Lol
Analazimisha kujisafisha baada ya kustukiwa kuleta siasa za biashara ndani ya cdm. Amejua watu wamepoteza imani naye huku akiwa na project ambayo Mbowe aliipoteza baada ya kupoteza uenyekiti. Sasa hana namna, inabidi atoke nje ya vikao kujieleza ili ionekane kama yeye ni muaminifu kwa chama, lakini anachafuliwa na Mange. Lakini Lema maneno na mwenendo wake wa sasa una walakini wa wazi dhidi ya misimimamo ya chama.Lengo la lema nini??
Mwache aseme ukweli, Lema ni mlokole,hasemi uongoHaya ni masuala ya ndani ya chama. Anayatoa nje ili iweje?
AiseeHajasema ni nani anaemlipia Sea crif Hotel
Kama hayo aliyoeleza ni kweli, alifanya jambo jema sana bila kujali sababu zilizomfanya kukataa.Wakuu,
Mwanasiasa Godbless Lema ameeleza kuwa Tundu Lissu alimtaka yeye agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti (Bara) badala ya John Heche, lakini alikataa nafasi hiyo ili kulinda mshikamano wa chama.
"Wakati wa kuulizwa anayetaka kugombea, chaguo la Lissu ilikuwa ni mimi Lissu akaniambia: 'Lema gombonia Makamu Mwenyekiti nataka Makamu Mwenyekiti kutoka kaskazini, nakutaka wewe.' Nikakataa... Nikamwambia Heche: 'Usifanye kampeni... mimi nakuja Tanzania... lala ndani, njoo ukumbini na machela siku ya mwisho, hii kampeni utashinda.'"