K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Nov 2, 2026 #41 The Family Wallet said: Lengo la lema nini?? Click to expand... Kuimaliza au kuidhoofisha kabisa CHADEMA; hili liko wazi.
The Family Wallet said: Lengo la lema nini?? Click to expand... Kuimaliza au kuidhoofisha kabisa CHADEMA; hili liko wazi.
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Nov 2, 2026 #42 baro said: Ndio maana kwenye Kampeni za Chama chao Lema alotafita ma tycoon wasaidie Kampeni Lissu akakataa akajibu TUTAWALIPA NINI? Hii aliisema Lema Mwenyewe hivyo Lissu anawajua vizuri Lema na HECHE Click to expand... Hili naomba niliazime toka kwako,. Sikulijuwa hili. Lina maana kubwa sana.
baro said: Ndio maana kwenye Kampeni za Chama chao Lema alotafita ma tycoon wasaidie Kampeni Lissu akakataa akajibu TUTAWALIPA NINI? Hii aliisema Lema Mwenyewe hivyo Lissu anawajua vizuri Lema na HECHE Click to expand... Hili naomba niliazime toka kwako,. Sikulijuwa hili. Lina maana kubwa sana.
Isenye JF-Expert Member Joined Dec 22, 2024 Posts 1,985 Reaction score 5,167 Nov 2, 2026 #43 Chadema kila mtu ni msemaji