gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Rudi kwenye ununuzi wa ndege unachofanya wewe ni kuchepuka hoja!Fedha iliyowekezwa huko is it economic feasibility!1. Elimu bure
2. Mikopo elimu ya juu
3. Vituo vya Afya.
4. Barabara sio watatumia ng'ombe sio watu.
No maenseleo ya watu ni kuwagawia chakula na pesa
Kwahilo lakununua ndege hizo zote tena cash Raisi alikosea sana nadhani atafikia mda ombe radhi watanzania.......kuna mambo mengi yangefanyika kufufua uchumi wetuRudi kwenye ununuzi wa ndege unachofanya wewe ni kuchepuka hoja!Fedha iliyowekezwa huko is it economic feasibility!
Hapo hata Mimi kanimalizaNimecheka sana anavyowaita wale wale, wale wale wale wale.....hahahahaaaa.
Rudi kwenye ununuzi wa ndege unachofanya wewe ni kuchepuka hoja!Fedha iliyowekezwa huko is it economic feasibility!
Kwa mwandiko huu tu wewe unaonesha ndio unakaribia kupona uteja.nakufamu unakunywa dawa hapa hospitali kwetu.kila siku asubuhiWazee wa kuokoteza hoja Kama kawaida yenu, mnachokiona AMBACHO hakigusi wananchi moja kwa moja Ni ndege tu?
Vipi kuhusu Treni ya kati, (Tanga-Moshi), vipi kuhusu kurudisha nidhamu utumishi wa umma, hatusemi zahanati, elimu bure inawapenga kina nani? Hivi Kuna SGR, au Mradi wa Rufiji, labda angegusia pia sekta ya madini, au upanuzi wa bandari ya dar es salaam gati 0-8.
Sasa mnajikita kwenye kuokoteza okoteza yule Mwami juzi/Jana kaja na sabotage ya bandari ya bagamoyo ooh wakenya wameshinda hakushangilia tulivyowanyang'anya Mradi wa bomba la mafuta la Hoima-Tanga, mbona husemi kwamba Tanzanite Sasa hivi haiuzwi nje ya Mererani.
Mnachojua Ni kuzua na kuzusha tu.
Kuna habari pafu moja la bangi linakaa miaka 40 kichwani sasa Lema ndio kwanza hata yeye mwenyewe ana 40+ toka azaliwe na keshakula Misumari mingapi.
huyo aliyeletakikombe hapo nawezaje kumpata?
Asante sana Mbunge Lema umenena mambo mazuri sana. Hata mimi , kama nimekuelewa vizuri, naona maendeleo ambayo yako nchini ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu na ambayo sio future ya watanzania.
Rais Magufuli ana tuaminisha sisi kuwa analeta maendeleo ya watu. Wakati ukweli sio hivyo. Maendeleo yanayo letwa na Rais wetu naona yanaelekezwa zaidi kwenye vitu zaidi badala ya watu.
Katika utalii naona Waziri Kigwangala bado hajajua strategy ya kuiwezesha nchi yetu kuwa na watalii wengi. Ndege peke yake sio solution. Brain wash ndiyo solution. Nisameheni kwa kulitumia hili neno kwa makusudi.
Nimesha wahi sema mara nyingi sana kuwa kuwatumia ma Stars kama Willy Smith na Prominent persons kama Rais Obama na Prince William wanao kuja likizo na familia zao, kama njia ya kuwa vutia watalii, hiyo haita work hata mara moja.
Kama tunataka kuwatumia prominents ili kuutangaza utalii wetu, basi hatuna budi kuwa wabunifu. Kwa mfano; tunaweza mtumia Willy Smithy, akiwa kama agent anayezuia biashara ya meno ya tembo, katika filam ambayo tumeibuni sisi wenyewe inayo husu kuuawa kwa Tembo wetu na majangili kwa ajili ya biashara ya meno ya tembo, tuseme nchini China, na Rais Obama akawa kama Rais wa Amerika anaye shirikiana na Willy Smith kutokomeza biashara hiyo ambayo ina athiri wanyama na Mbuga zetu.
Filim hiyo ikiwa na mafanikio na ikionyeshwa kwenye cimemas zao na kwenye Videos na Media nyingine kama Youtube, hapo ndipo watu wengi watataka kuja kwetu.
Niwape mfano, ile filim ya King Lion, ime wafanya wazungu wengi wajue kuwa kuna nchi anaitwa Madasca na lugha ya kiswahili kwa upande mwingine kujulokana.
Njiani nyingine ambayo ni muhimu sana, ni njia ya kiwatwanga wazungu kwa matangazo ya mbuga zetu kwenye Media zao kama BBC, CNN, CNBC, Al Jazeera na kadhalika.
Tofauti tuliyo nayo ukilinganisha na maendeleo ya wachina ni kwamba wachina wana produce manufactured goods zilizo kuwa designed na wenyewe na nyingine kuwa designed nje, wakati sisi bado tunategemea agricultural products na madini yetu ambayo bado hayajaanza kutuingizia faida tunayostahili.
Hayo madege anayo yanunu na mabasi ya mwendo kasi akiondoka walakini wa kufa ni mkubwa sana. Labda tumpate kiongozi mwingine ambaye atakuwa kama yeye ili kuendeleza aliyo pacha
Nadhani pia inasababishwa na kupoka majukumu ya bunge yaani kuyateka naamini mjadala mpana wa manunuzi haya ungeamuliwa na bunge tungewa na uelekeo sahihi changamoto kubwa aliyonayo kwa sasa ni yeye kujipa majukumu ya bunge angeacha kamati za bunge na bunge la bajeti lifanye maamuzi yeye awe mtekelezaji mambo yangewa nyoofu navoona mimi kwa sasa kila kitu ni yeye.Kwahilo lakununua ndege hizo zote tena cash Raisi alikosea sana nadhani atafikia mda ombe radhi watanzania.......kuna mambo mengi yangefanyika kufufua uchumi wetu
Kwahilo lakununua ndege hizo zote tena cash Raisi alikosea sana nadhani atafikia mda ombe radhi watanzania.......kuna mambo mengi yangefanyika kufufua uchumi wetu
Unatuthibitishiaje ilihali mashirika mazoefu kwenye hiyo biashara yanaweweseka!.According to Lema,Rwandair,Kenya airways,South africa airways zina taabika kutengeneza faida tupe analysis iliyokufanya useme is feasible!nilijibu maendeleo ya watu vs vitu..
Yes uwekezaji wa ndege ni economic feasible.
Msikileze lema mwenye akili za viongozi 30 huko kwenu.ndio ujue nini kifanyikeumeshafikilia ameokoa ngapi kwa kununua cash kwenye financing?
Nini ungeshauri lifanyike kufufua uchumi?
Unatuthibitishiaje ilihali mashirika mazoefu kwenye hiyo biashara yanaweweseka!.According to Lema,Rwandair,Kenya airways,South africa airways zina taabika kutengeneza faida tupe analysis iliyokufanya useme is feasible!
Msikileze lema mwenye akili za viongozi 30 huko kwenu.ndio ujue nini kifanyike
Mmmmh!Njia alotumia juma kufanikiwa nikipita mulemule nami nitafanikiwa si ndiyo!.I think it doesn't work like that.Kaa chini tafakari sana kuhusu trilioni zilizowekezwa kwenye hizo ndege mbili halafu uendelee kujivunia shirika lako la ndege kuboresha maisha yako!Next time mwambie Lema ataje yaliyofanikiwa....
Reference sio lazima ya walioshindwa tu.
Kuna mamilions ya mashirika ya ndege duniani yako safi.
Think outside the box msiige ujinga2[emoji1][emoji1]
Msikileze lema mwenye akili za viongozi 30 huko kwenu.ndio ujue nini kifanyike
Kawavua nguo na kuonyesha ni jinsi gani walivyo na uwezo mdogo wa kufikiri na kuwaza kwa faida ya Taifa hilli.Hakika Lema amezungumza vitu vilivyofichika sana kwenye unafiki wa siasa za ccm