Lema: Magufuli ogopa wanao kupigia makofi na mapambio wanakupoteza kuwa makini nakushauri kwa mara ya mwisho

Lema: Magufuli ogopa wanao kupigia makofi na mapambio wanakupoteza kuwa makini nakushauri kwa mara ya mwisho

Lema kaongea mambo ya msingi mno

Only in Tanzania rais anawaza Pompous projects (Project za kujimwambafai) wakati ka nchi kako wananchi hawana hata maji ya kutosha safi na salama ya kunywa
 
Kenya wako active Sana sababu kampuni zao za utalii ziko active Zina branches ulaya na Marekani kusaka watalii .Sisi kampuni zetu za utalii hata ukiuliza mwanachuo wa chuo kikuu au afisa wa serikali hata hazijui.Na ukimuuliza ukitaka kwenda Mfano kutalii mbugani utatumia kampuni gani hajui .Kampuni zetu za utalii zipo zipo tu

Issue sio waziri au serikali ni ujinga wa kampuni zetu za utalii na kutokuwa active

Unachokiongea si kweli? Dubai hakuna vivutio vyovyote vya utalii vya asili, bali ni serikali ya Dubai ndio iliwekeza na kuifanya dubai kuwa destination ya watu wengi. Kama makampuni yameshindwa Serikali ilishindwaje kuingilia kati either kuyaongoza au yenyewe ikaweka agency zake.
 
Lema wala wewe hamkutoa statistics zozote zaidi ya mashirika ma4.

Angola na nchi kibao zimefanikiwa mko aware nazo?
Nataka unipe majibu mtetezi wa hiyo biashara nakubaliana na hoja ya lema thibitisha unayotusadikisha!
 
Kila mtu anauwezo wa kuongea, ukipewa usukani ndio utachagua sehemu ya kupita.

Wapo wengi wasomi wakiongea wanaongea pumba tu, lakini sio lazima tukampa yeye usukani hata wenye usukani wanaweza kufanyia kazi anachoongea maana lengo ni kwenda mbali na watu waendelee kiuchumi.
 
Unachokiongea si kweli? Dubai hakuna vivutio vyovyote vya utalii vya asili, bali ni serikali ya Dubai ndio iliwekeza na kuifanya dubai kuwa destination ya watu wengi. Kama makampuni yameshindwa Serikali ilishindwaje kuingilia kati either kuyaongoza au yenyewe ikaweka agency zake.
Serikali haijawekeza Dubai ni kampuni za property developers ndio wamejenga dubai kampuni iliyojenga Dubai kwa sehemu kubwa ni kampuni ya Dubai inc.
 
Ndo tatizo la kua wapinzani: we unajua mda huu Tanzania ni nchi ya ngap afrika kwa mapato ya watalii, unajua revenues zetu ni ngap tangia izo ndege zimeingia?

pitia apa report ya last week: kwa haraka haraka Tanzania imepanda na kushika nafasi ya #4 Afrika nzima: even kenya + uganda combined stll cant reach that position:

Tunapenda wapinzani lakini haimaanishi akili yako iwe inawaza upinzani pia:
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli, Lema ametema madini sana ambayo unaweza kuyasikiliza kwa watu wachache sana.
Nilichojifunza sana hapa, Elimu sio issue sana bali exposure ya maisha ni jambo la msingi sana. Watu wetu wengi wakisoma wanaona wamemaliza kumbe ni zero tu hata uwe profesa bila exposure ni zero tu.. Kudos Lema kwa maneno yako yenye uzito na faida kubwa kwenye Taifa letu..
 
Mi naomba unieleweshe maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu tofauti yake nini, maana naona na wewe katika ushauri wako umeelezea vitu badala ya watu

Kama umemsikiliza Mh Lema kwa makini ameelemea upande wa ajira na kipato kwa mwananchi na serikali. Ndiyo maana akaingia upande wa maji zaidi kuwa ndiyo zao linaloleta maendeleo.

Vijana hawawezi kuondoka mjini kama miundo mbinu ya maji hayajawekwa vizuri huko mashamnani. Niwangapi wamepeleka huko mitaji yao lakini warudi kwenye umasikini kwa sababu mvua hakuna.

Kuhusu suala la ndege tungeenda nalo mdogo mdogo hata kama tungeongea na Ethiopian, South na nchi nyingine tungepaka rangi ya nchi yetu wakati tunajipanga, baada ya miaka 5 tayari ungekuta limeshajitangaza huwezi kufanyabiashara kwa hasara tena na watanzania watakuwa tayari kupambana kwenye soko na jina la Tanzania utakuta limeshajitangaza.
 
Serikali haijawekeza Dubai ni kampuni za property developers ndio wamejenga dubai kampuni iliyojenga Dubai kwa sehemu kubwa ni kampuni ya Dubai inc.

Wale property developer wa Dubai walizaliwa tu wakashuka pale dubai na kuanza kuyafanya yale, Napafahamu na naifahamu ikiwa duni na ikiwa hivyo ilivyo.. Think tank pale sio hayo makampuni, wapo watu wamefikiri na kuanzisha uwekezaji huko kwenye hayo makampuni, fahamu kuna mwanzo. Hapa kwetu mambo yanajianzia yenyewe a kujiendea yenyewe. Investments haziji tu zenyewe kwa watu kulala na kuamka na kuzileta lazima kuwe na vichocheo na vianzilishi.
 
Lakini ofisi yao pale UFIPA inavuja na mwenyekiti anatanua na magari ya millions 400. Hili lema hasemi kabisa
Watu wanajadili mambo ya maana Wewe unajadili mambo ya ofisi,ingekuwa kuwa na ofisi nzuri ndiyo kuwa na mawazo mazuri Leo Tungekuwa mbali sana katika maendeleo.Angalia tu jengo la CCM pale Dodoma, lakini ndiyo mawazo ya kuuza maliasili yatokea pale,ufisadi mawazo Yake yanatokea pale na mambo mengine kama hayo
 
Kagame huwa anamlipa Tony Blair consultation fee katika maswala ya uchumi. Msionekane Rwanda inasonga mbele.
 
Wale property developer wa Dubai walizaliwa tu wakashuka pale dubai na kuanza kuyafanya yale, Napafahamu na naifahamu ikiwa duni na ikiwa hivyo ilivyo.. Think tank pale sio hayo makampuni, wapo watu wamefikiri na kuanzisha uwekezaji huko kwenye hayo makampuni, fahamu kuna mwanzo. Hapa kwetu mambo yanajianzia yenyewe a kujiendea yenyewe. Investments haziji tu zenyewe kwa watu kulala na kuamka na kuzileta lazima kuwe na vichocheo na vianzilishi.
Vianzishi vya investment ni investors wakiona opportunity ya kuwekeza.Ukilala ukidhani serikali itaamka na wazo la kukupa ili uwekeze utasubirina.Dubai mwenye kampuni ya Dubai Inc aliona hiyo.opportunity akaamua kuwekeza hakuna aliyemsukuma kufanya hivyo.Ni yeye binafsi alipata Idea akaifanyia kazi
Tanzania tuna mipori kibao katafute pori moja ushushe Dubai yako serikali Wala haitakuzuia
 
Lema wala wewe hamkutoa statistics zozote zaidi ya mashirika ma4.

Angola na nchi kibao zimefanikiwa mko aware nazo?
Shirila la ndege la angola hilitengenezi faida kihivyo unalitajataja nalo liko kwenye "Financial difficulties".Unajaribu kutetea uamuzi wa jiwe lakini lema anamantiki kimkakati manunuzi ya haya maboieng ni political mileage tu period!.Sawa na kuhamia dodoma na kama ungeruhusiwa mjadala wa wazi bungeni naamini hizo hela "CASH" za kununua zisingepitishwa na bunge!.Ni vile tu Bunge limetekwa nyara kwa sasa hamna namna!
 
Wazee wa kuokoteza hoja Kama kawaida yenu, mnachokiona AMBACHO hakigusi wananchi moja kwa moja Ni ndege tu?

Vipi kuhusu Treni ya kati, (Tanga-Moshi), vipi kuhusu kurudisha nidhamu utumishi wa umma, hatusemi zahanati, elimu bure inawapenga kina nani? Hivi Kuna SGR, au Mradi wa Rufiji, labda angegusia pia sekta ya madini, au upanuzi wa bandari ya dar es salaam gati 0-8.

Sasa mnajikita kwenye kuokoteza okoteza yule Mwami juzi/Jana kaja na sabotage ya bandari ya bagamoyo ooh wakenya wameshinda hakushangilia tulivyowanyang'anya Mradi wa bomba la mafuta la Hoima-Tanga, mbona husemi kwamba Tanzanite Sasa hivi haiuzwi nje ya Mererani.

Mnachojua Ni kuzua na kuzusha tu.

Kuna habari pafu moja la bangi linakaa miaka 40 kichwani sasa Lema ndio kwanza hata yeye mwenyewe ana 40+ toka azaliwe na keshakula Misumari mingapi.
Hizo elimu bure unazosema wewe watoto wao wanasoma huko? Kwa nini?
 
And u do exactly the same...
unamshangilia Lema tena ukinengua na kiuno [emoji1][emoji1]
Simashangilii lema naishaingilia hiyo statement na kumbuka hiyo statement siyo ya lema,kama ulimsikiliza vizuri yeye aliambiwa na mtu.
 
Vianzishi vya investment ni investors wakiona opportunity ya kuwekeza.Ukilala ukidhani serikali itaamka na wazo la kukupa ili uwekeze utasubirina.Dubai mwenye kampuni ya Dubai Inc aliona hiyo.opportunity akaamua kuwekeza hakuna aliyemsukuma kufanya hivyo.Ni yeye binafsi alipata Idea akaifanyia kazi
Tanzania tuna mipori kibao katafute pori moja ushushe Dubai yako serikali Wala haitakuzuia

"Dubai Inc. is a phrase used to describe a collection of diverse companies owned primarily by the Government of Dubai. These state-controlled investment properties grew from what was just a vision of Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum’s predecessors in the year 2000. Since then, the ruling family selected leading figures to “take over what proved to be one of the most extraordinary success stories in global investment and development.”[1] Some examples of local companies under Dubai Inc. include Dubai World, Dubai Holdings, Emirates, and investment subsidiaries under Dubai World, such as Dubai Ports World, Jebe"

Hiyo ni copy and paste from encyclopedia, Ni vizuri pia ukajipa muda kuisoma na kuielewa Dubai. Jipe muda pia kusoma na kuielewa Malysia, Singapore, SouthKorea zilifikaje hapo na kuuga umasikini.
 
Vianzishi vya investment ni investors wakiona opportunity ya kuwekeza.Ukilala ukidhani serikali itaamka na wazo la kukupa ili uwekeze utasubirina.Dubai mwenye kampuni ya Dubai Inc aliona hiyo.opportunity akaamua kuwekeza hakuna aliyemsukuma kufanya hivyo.Ni yeye binafsi alipata Idea akaifanyia kazi
Tanzania tuna mipori kibao katafute pori moja ushushe Dubai yako serikali Wala haitakuzuia
Investors wanaangalia political stability na taxes kabla hawajamwaga mapesa yao.
 
Maoni yako tunayaheshimu..
Ila kwa sasa ndege ziko hewani..

Back
Top Bottom