Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
Sijui mnawekewa nini kwenye vichwa vyenu mnapokuwa mnayaandika haya?Amshauri kwanza mbowe wakati ye akiwa mpiga zumari wa mbowe. Aongolee masuala yanayihusu chama chake. Hadi leo hawajatoa hata tarehe ya uchaguzi wa mwenyekiti kisha analeta ngebe humu.