Lema: Magufuli ogopa wanao kupigia makofi na mapambio wanakupoteza kuwa makini nakushauri kwa mara ya mwisho

Lema: Magufuli ogopa wanao kupigia makofi na mapambio wanakupoteza kuwa makini nakushauri kwa mara ya mwisho

Ipo siku maneno na ushauri huu wa busara ataukumbuka, JK anapomchekea asifikiri anaridhika, atakuja kujuta sana
 
"Utakiwi kuwa na PhD kutambua kuwa wanaomshangilia Magufuli na kumshauri ujinga siku yakimpata ya kumpata watakuwa pembeni wanamponda"
Sisi tuliosomeshwa na CCM tunaijua vizuri CCM, wakati huo somo la siasa lilikuwa ni sera za CCM, atakuja kujuta sana
 
Lema hana degree 4 hawezi kushauri kitaaluma
Bashite ndo mshauri mkuu ana degree ngapi hata za jalalani? Washauri wenzake akina Musukuma wa kulekule na Kabajaji wanajua kusoma na kuandika ndo maana wako bungeni dhaifu chini ya uongozi wa spika dhaifu wa kutupwa. Ngumbato mkubwa we hata uteizi wa mfagiaji wa choo cha kulipia hupati.
 
Wanasifia wapate Pesa ataelewa akiwa nje ya mfumo muda wake ukiisha.
Ni heri akukosoae anakupenda ili ubadilike usianguke.
Viongozi wengi Wa kiafrika huwa wanaelewa wakiwa nje ya mfumo wakati huo mda umewapita wa kuyarekebisha hayo.
Tumeona Leo mkapa anataka tume huru.
Nyerere aliona madhaifu ya katiba aliyoiasisi akiwa ashastaafu na hana uwezo kuibadili.
 
Back
Top Bottom