Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,993
Africa peke yake kuna mashirika yasiyopungua 80 ya ndege. Zaidi ya 60% yako very successful ikiwamo Angola.
Duniani kuna mashirika zaidi ya 200 owned by Government fully ama more than 50%. Busy na ma4 yaliyoshindwa.
Kuchagua ma4 kama reference ya kushindwa ni ujinga...
Na asiyeweza kufanya analysis ya hiyo biashara kwa mataifa ya Africa tu yaliyofanikiwa vs yakishindwa ntashindwa kumwita mjinga kwakuwa mimi ni muungwana[emoji1]
Besides.. kufufua ATCL ni sera iliyozaliwa. a chadema. Tunajikana kila siku

Unatuthibitishiaje ilihali mashirika mazoefu kwenye hiyo biashara yanaweweseka!.According to Lema,Rwandair,Kenya airways,South africa airways zina taabika kutengeneza faida tupe analysis iliyokufanya useme is feasible!