Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Haujazwi hamira huo?Tandika, kinyerezi,chanika,ukitaka wa buku jero utakula mpaka unye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujazwi hamira huo?Tandika, kinyerezi,chanika,ukitaka wa buku jero utakula mpaka unye
Tunaita samaki nchaangaaa.Labda nyama ya panya
Hamira ili iweje,acha kukaririHaujazwi hamira huo?
Kubusti kopato.Hamira ili iweje,acha kukariri
Hamira kwenye ugali labda,wali noKubusti kopato.
Afungue kanisa apige hela zenu nyumbu wa Ufipa.Ukiona Nabii wa Mungu anayasema hayo jua Nchi imekwisha
Jibu hoja. Watoto wako au wadogo zako wamekula nyama mara ya mwisho lini? Nyama Morogoro 9000/= Mbeya 8000/= Kilo. Dar sijui. Huko kwenu sijui. Moshi wa mwenge umekudumaza ubongo. Hv Mimi nasubiri kuna Harusi Jirani Jumamosi tusogee. Usinicheke hali siyo shwari!Lema mkanada ni muongo sana!
Unajua maana ya kufungua nchi au unafuatisha wimbo wa wanasiasa wa CCM waliokushika masikio kwani ni lini ilifungwa!Hahaha.. Mama anaupiga mwingi, amefungua nchi!
Nchi ya nyoko
Sio kwamba wewe ni maskini mwenye ahueniMimi nina hela, tunawazungumzia makapuku
Kasema kweli japo hajiongelei yeye. Mabuchani nyama zinalala kila siku. Watanzania wengi hawali nyama sababu ya umasikini, mboga imekuwa dagaa (this is as far as they can go) yani hata samaki tu kula ni kwa mbindeSerekali ina mapungufu ila huu ni uongo
KIla ninapojiskia kula nyama nakula kama anavyokula yeye lema aache kuwajaza ujinga!Jibu hoja. Watoto wako au wadogo zako wamekula nyama mara ya mwisho lini? Nyama Morogoro 9000/= Mbeya 8000/= Kilo. Dar sijui. Huko kwenu sijui. Moshi wa mwenge umekudumaza ubongo. Hv Mimi nasubiri kuna Harusi Jirani Jumamosi tusogee. Usinicheke hali siyo shwari!
Hatari snTunaita samaki nchaangaaa.