johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Namuunga mkono Lema Kwa hil, Wewe lazima una matatizo ya kujua kamali ni nini. Kamali hailihusiwi China lakini huku hao hao wachina Ndiyo wachezeshaji.Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu. Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko. Apuuzwe mjinga huyu.
Hata kwenye vitabu vitakatifu Kamali imepigwa marufukuNamuunga mkono Lema Kwa hil, Wewe lazima una matatizo ya kujua kamali ni nini. Kamali hailihusiwi China lakini huku hao hao wachina Ndiyo wachezeshaji
Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu.
Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko.
Apuuzwe mjinga huyu.
kama ni kodi ya wazungu wewe inakuhusu nini?hizo pesa si waliziiba afrika wacha zitumike kwa namna hiyo.Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu.
Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko.
Apuuzwe mjinga huyu.
Kamali imekatazwa kwenye vitabu vya dini,ilo la kusema china hawachezi kamali amekuambia nani mkuu,hujawahi kufika china nini?,yale makasino basi kwenye runinga huyaoni?,chanzo cha karata kwanza ni china.Namuunga mkono Lema Kwa hil, Wewe lazima una matatizo ya kujua kamali ni nini. Kamali hailihusiwi China lakini huku hao hao wachina Ndiyo wachezeshaji
Ukimpuuza wewe inatosha,. Usitupangie sisi watu wa kuwasikiliza.Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu.
Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko.
Apuuzwe mjinga huyu.
Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu.
Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko.
Apuuzwe mjinga huyu.
Mtamuunga mkono Lema hata akijamba.Namuunga mkono Lema Kwa hil, Wewe lazima una matatizo ya kujua kamali ni nini. Kamali hailihusiwi China lakini huku hao hao wachina Ndiyo wachezeshaji
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu mh Anna Makinda
Lema amesema " Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya Kucheza Kamali akafundishe Watoto wake"
Lema alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara jijini Mwanza na amedai 80% ya Vijana wa Nchi hii ni Wacheza Kamali. Lema amelia na kusema anakuona Kizazi cha Vita huko mbele
Source: Yohoma TV
Usiparamie posti, soma vizuri uelewe.Hela ya walipa kodi wa Tanzania ndo inamweka Canada? Kweli boda boda upepo unawaathiri.
Atalipwaje posho kama hataongea utumbo kwa level yake?Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu mh Anna Makinda
Lema amesema " Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya Kucheza Kamali akafundishe Watoto wake"
Lema alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara jijini Mwanza na amedai 80% ya Vijana wa Nchi hii ni Wacheza Kamali. Lema amelia na kusema anakuona Kizazi cha Vita huko mbele
Source: Yohoma TV
Naona yote ni kweli
Hadi 2025 hiyo bwashee π€£π€£Mwaka huu ccm wanalo... Kila mada ni CHADEMA na makada ama viongozi wake