Lema: Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya kucheza kamari, akafundishe Watoto wake Nchi imekwisha hii!

Lema: Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya kucheza kamari, akafundishe Watoto wake Nchi imekwisha hii!

Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu Mh Anna Makinda.

Lema amesema "Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya Kucheza Kamari akafundishe Watoto wake"

Lema alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara jijini Mwanza na amedai 80% ya Vijana wa Nchi hii ni Wacheza Kamali. Lema amelia na kusema anakuona Kizazi cha Vita huko mbele.

Source: Yohoma TV
Huyu jamaa ana shida kweli. Mwenyekiti wake kala B 3 huko. Atulie awe kama mwenzake Lissu ameamua kurudi ughaibuni
 
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu Mh Anna Makinda.

Lema amesema "Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya Kucheza Kamari akafundishe Watoto wake"

Lema alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara jijini Mwanza na amedai 80% ya Vijana wa Nchi hii ni Wacheza Kamali. Lema amelia na kusema anakuona Kizazi cha Vita huko mbele.

Source: Yohoma TV
Acha itajulikana tu ni nan ana hoja ya msingi au ni ushabiki wa vyama!!
 
Kam kweli yule makinda kayatamka hayo maneno basi mam yule atakuwa siyonmzima kichwani ninmjinga tu ndio anaweza kuongeaa
 
UKWELI mara zote Huwa ni mchungu.

Lema endelea na Utumishi uliotukuka.

Hata Magu aliposema UKWELI walimwita kichaa.

Yesu ndo kabisa wakamwuua wale wale viongozi wa dini.

Hiyo KAZI ya ukichaa ndo Ina faida kubwa kuisaidia JAMII itoke Mahali ilipo.

Amen
 
Hapaa kwetu kamari imepewa jina la kubeti ili kupotosha maana
Kamari ilikatazwa awamu ya tano sasa imerudi kwa spidi ya sunami - Tunateketeza kizazi chetu
Wataalamu wa saikolojia wanasema kamari ni ugonjwa wa akili - ADDICTIVE
Kwanini wataalamu wetu hawasemi ukweli wa jambo hili?
 
Mjinga ni wewe usiyeoona mbali zaidi ya pua yako
Bado hujasema kitu.
Lema kaenda Canada kaishia kufamakia misosi ya majuu na kudharau bodaboda, ugali na mambo ysliyomkuza.
Angetumia vizuri muda wake Canada ingalau angesoma vitabu kuondoa ushamba na ujinga kichwani mwake.
 
Najiuliza Anne Semamba Makinda
Alikosa Kauli Ya Kutoa Mpaka Akaangukia Betting
 
Najiuliza Anne Semamba Makinda
Alikosa Kauli Ya Kutoa Mpaka Akaangukia Betting
Anko lema ukimaliza mambo ya bodaboda jamia upande wa pili (dini)na huku utoe ufafanuzi wa kina maana kuna mambo hayako vizuri kabisa mekuu...kuna wengine wamesharudi kutoka mbinguni wanatusimulia ....tupo njia panda chalinze hatuelewi..
 
Back
Top Bottom