Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nauheshimu mchakamchaka wa maneno mengi ya Lema usiyo na matendo yoyote!

Mwacheni aongee ila vitendo ni o"
Mwenye matendo ni yule anayedai kunyang'anywa nyumba na GSM!? Mwambieni akae kwa kutulia, maana hata huo ukuu wa mkoa wanaweza kuuchukua wenyewe.
 
John kwa uchochezi hujambo
 
Lema shida ni kuwa na mdomo mrefu😂😂😂😂😂😂
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Mama awaachie majimbi kadhaa kwani ndio anapiga kura zote nchini? Hiyo hisani mngewapa ACT juzi kwenye chaguzi za marudio maana ndio wanajipendekeza kwa ccm.
 
Makonda Anza na pombe mataputatu na bangi bila kusahau viwanda bubu vya pombe feki apo Arusha
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Akili ya kuzimu hii
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.

Shetani huweza kupata mafanikio kwa muda mfupi ili azidi kupumbazika, lamini kamwe hawezi kupata ushindi wa kudumu.

Maisha hayahitaji hisani ya mtu bali yanapiganiwa, Mungu huweka baraka katika jitihada halali.
 
Punguani mnatapatapa. Lema yupo sahihi. Muuaji ni shetani, na shetani japo anaweza kuharibu kazi njema ya Mungu, lakini hana nafasi ya ushindi wa kweli.
 
Kwa yale Maandamano Arusha anatakiwa Makonda tu [emoji23][emoji91]

Makonda amepelekwa Arushwa ili akadhalilike. Hakuna atakachokibadili. Aheri angepelekwa hata Dodoma au Bariadi huko. Lakini Arusha, Dar, Kilimanjaro au Mbeya ataionja tu aibu. Huko atalioia uovu wake.
 
Punguani mnatapatapa. Lema yupo sahihi. Muuaji ni shetani, na shetani japo anaweza kuharibu kazi njema ya Mungu, lakini hana nafasi ya ushindi wa kweli.
Mwambie aache haraka sana utapeli wa magari maana akiendelea atakuwa pabaya
 
Makonda amepelekwa Arushwa ili akadhalilike. Hakuna atakachokibadili. Aheri angepelekwa hata Dodoma au Bariadi huko. Lakini Arusha, Dar, Kilimanjaro au Mbeya ataionja tu aibu. Huko atalioia uovu wake.
Ngoja tuone
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Ebu na wewe ficha upumbavu wako huko lumumba. Huyo samia wako anamiliki majimbo hadi ayagawe bure? Au ndani ya kichwa chako kumejaa kamasi tu? Idiot promax!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…