Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Rimoti kwisha kazi hakuna betri,,,,,........sasa ni mda wa kuwatekenya wale mababu zenu hadi mteme vibungoAnaishi kwa hisani Sasa. Mwambieni aendelee kupiga kelele na kuotesha sharubu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rimoti kwisha kazi hakuna betri,,,,,........sasa ni mda wa kuwatekenya wale mababu zenu hadi mteme vibungoAnaishi kwa hisani Sasa. Mwambieni aendelee kupiga kelele na kuotesha sharubu.
Mwenye matendo ni yule anayedai kunyang'anywa nyumba na GSM!? Mwambieni akae kwa kutulia, maana hata huo ukuu wa mkoa wanaweza kuuchukua wenyewe.Nauheshimu mchakamchaka wa maneno mengi ya Lema usiyo na matendo yoyote!
Mwacheni aongee ila vitendo ni o"
John kwa uchochezi hujamboMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa sana
Ili kulinda Demokrasia ya kweli kuna mambo mawili ya Kuzingatia yaani kuwa tayari kulipa gharama yoyote Wakati wote Katika kulinda Heshima na malengo yetu
Amefahamisha Lema ukurasani X
Nawatakieni Pasaka njema 😀
Endeleeni kuota, zama za yule jamaa zilishapita.Rimoti kwisha kazi hakuna betri,,,,,........sasa ni mda wa kuwatekenya wale mababu zenu hadi mteme vibungo
Lema shida ni kuwa na mdomo mrefu😂😂😂😂😂😂Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa sana
Ili kulinda Demokrasia ya kweli kuna mambo mawili ya Kuzingatia yaani kuwa tayari kulipa gharama yoyote Wakati wote Katika kulinda Heshima na malengo yetu
Amefahamisha Lema ukurasani X
Nawatakieni Pasaka njema 😀
RAIS WA KASKAZINI CHAPTER 1Endeleeni kuota, zama za yule jamaa zilishapita.
Nabii anaongea Kinabii haongei kama Lucas Mwashambwa.Kamanda amepatwa na nini tena?
Mama awaachie majimbi kadhaa kwani ndio anapiga kura zote nchini? Hiyo hisani mngewapa ACT juzi kwenye chaguzi za marudio maana ndio wanajipendekeza kwa ccm.Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.
Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Basi sawaNabii anaongea Kinabii haongei kama Lucas Mwashambwa.
Akili ya kuzimu hiiAache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.
Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.
Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Lema tayari ameshaanza kuweweseka na kuchanganyikiwa.maana anajuwa ndio mwisho wa kazi yake ya kuwatapeli watu magari. Lakini pia anajuwa ndio mwisho wa ndoto zake za ubunge katika jimbo lolote lile ndani ya mkoa wa Arusha na mahali popote pale katika ardhi ya Tanzania.
Kwa yale Maandamano Arusha anatakiwa Makonda tu [emoji23][emoji91]
Kumbe ameteuliwa kuwa RPC Arusha au mimi ndio nimesikia vibaya?Makonda Anza na pombe mataputatu na bangi bila kusahau viwanda bubu vya pombe feki apo Arusha
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa tena
Ili kulinda Demokrasia ya kweli kuna mambo mawili ya Kuzingatia yaani kuwa tayari kulipa gharama yoyote Wakati wote Katika kulinda Heshima na malengo yetu
Amefahamisha Lema ukurasani X
Nawatakieni Pasaka njema 😀
Mwambie aache haraka sana utapeli wa magari maana akiendelea atakuwa pabayaPunguani mnatapatapa. Lema yupo sahihi. Muuaji ni shetani, na shetani japo anaweza kuharibu kazi njema ya Mungu, lakini hana nafasi ya ushindi wa kweli.
Ngoja tuoneMakonda amepelekwa Arushwa ili akadhalilike. Hakuna atakachokibadili. Aheri angepelekwa hata Dodoma au Bariadi huko. Lakini Arusha, Dar, Kilimanjaro au Mbeya ataionja tu aibu. Huko atalioia uovu wake.
Ebu na wewe ficha upumbavu wako huko lumumba. Huyo samia wako anamiliki majimbo hadi ayagawe bure? Au ndani ya kichwa chako kumejaa kamasi tu? Idiot promax!Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.
Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Huko aliko lema anatetemeka sana maana anajuwa ndio mwisho wa ile kazi yake ya utapeli wa magari.