Operation Mashoga!The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the ...31 Jan 2020
R CHUGA KWA WAJANJA WEWE KULE HAKUNA PUNGUWANI KAMA WEWE.Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza ruhusu tapeli kama lema awe mbunge na kwenda Bungeni.
Si kulikuwa na story Marehem baba wa Chato baba anakula mtoto mwenye matraako makubwa.Operation Mashoga!
Kamati ya ulinzi yote Iko chini yakeKumbe ameteuliwa kuwa RPC Arusha au mimi ndio nimesikia vibaya?
Mbona unapoteza muda kubishana na mpumbavuJisikitikie kwa kukosa akili na hekima. Aheri ungenyimwa vyote ubahatike kuwa na akili japo ile ya kawaida ya kukufanya angalao uonekane ni mwanadamu kamili.
Wazazi wako watakuwa wanajutia. Tuwaonea huruma.
Uteuzi wa Makonda unadhihirisha kubwa zile 4R za Samia ni ni ulaghai mtupu, pamoja na kufunga ramadhani lakini amejawa na shetani mwingiMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa tena
Ili kulinda Demokrasia ya kweli kuna mambo mawili ya Kuzingatia yaani kuwa tayari kulipa gharama yoyote Wakati wote Katika kulinda Heshima na malengo yetu
Amefahamisha Lema ukurasani X
Nawatakieni Pasaka njema 😀
Hayo ni matumizi mabaya ya ujinga wakoHakuna mwenye akili Timamu anayeweza ruhusu tapeli kama lema awe mbunge na kwenda Bungeni.
Zile twit za matusu za Lema naamini zitafikia mwisho sasaTulia Lema, Makonda ni Samia wa Arusha, ujue mama ndiye sauti ya mwisho katika Tz, na Makonda anamuwakilisha. Hapo unaonaje?
Nijuavyo umeshakufa siku nyingi. Ndiyo maana nikakuuliza bado kuna upinzani Tanzania? Maana hawana support yoyote ya Watanzania.Yule mkuu wa malaika aliyesema atauua upinzani, alikuwa anamaanisha upinzani upi!? Kwani wale wabunge wa COVID-19 mnawaolazimisha kuwepo bungeni nyie mnadai ni WA chama Gani Tena!? Hebu nikumbushe kidogo hapo.
Huyo UWT hana akiliMwenye akili timamu ni wewe unayeshabikia muuaji Makonda!? By the way, kwani wewe ndiye unamchagua Lema au wananchi!? Wapumbavu wa ccm mnajivua nguo hadharani. Vichaa nyie.
Hao waliopo Arusha kabla ya Jambazi Bashite kupelekwa kwa mfano RPC Mkuu wa Mkoa Mkuu wa Wilaya wanafanya nini?Kamati ya ulinzi yote Iko chini yake
[emoji1787][emoji1787] Mimi siyapendi ma ccm lakini nashangaa mnavyo chezeshwa kwata na uyo mama hadi mnaacha maswala ya msingi mna pambana na Makonda kama hamnazo.Mwenye akili timamu ni wewe unayeshabikia muuaji Makonda!? By the way, kwani wewe ndiye unamchagua Lema au wananchi!? Wapumbavu wa ccm mnajivua nguo hadharani. Vichaa nyie.
Kumbe Rais ndiye anaamua kugawa majimbo kwa watu anaowataka yeye? CDM mmeskiaaa...Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.
Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Kabisa ,analazimisha kupendwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo kimsingi anazidi kujiharibia shauri ya uropokaji wakeTukienda mbele na tukarudi nyuma, Lema hawezi tena kushinda Arusha. Chadema labda watafute mtu mwingine. Lema hana tena mvuto Arusha.
Anguko la chadema Arusha, lipo mikononi mwake. Ni either mtu mwingine ndani ya Chadema au CCM warudi hewani.Kabisa ,analazimisha kupendwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo kimsingi anazidi kujiharibia shauri ya uropokaji wake
Exactly, kiukweli kabisa wananchi tunaogopa CCM kuendelea kuwepo madarakani ila tunaogopa zaidi kama CHADEMA ya kina Lema ikiingia madarakani. Wengi tunaombea atokee Magufuli mwingine kwenye CCM alete changes ila upinzani hawana mvuto kabisa mitaani.Nijuavyo umeshakufa siku nyingi. Ndiyo maana nikakuuliza bado kuna upinzani Tanzania? Maana hawana support yoyote ya Watanzania.