Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the ...31 Jan 2020
Operation Mashoga!
 
Jisikitikie kwa kukosa akili na hekima. Aheri ungenyimwa vyote ubahatike kuwa na akili japo ile ya kawaida ya kukufanya angalao uonekane ni mwanadamu kamili.

Wazazi wako watakuwa wanajutia. Tuwaonea huruma.
Mbona unapoteza muda kubishana na mpumbavu
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa tena

Ili kulinda Demokrasia ya kweli kuna mambo mawili ya Kuzingatia yaani kuwa tayari kulipa gharama yoyote Wakati wote Katika kulinda Heshima na malengo yetu

Amefahamisha Lema ukurasani X

Nawatakieni Pasaka njema 😀
Uteuzi wa Makonda unadhihirisha kubwa zile 4R za Samia ni ni ulaghai mtupu, pamoja na kufunga ramadhani lakini amejawa na shetani mwingi
 
Tulia Lema, Makonda ni Samia wa Arusha, ujue mama ndiye sauti ya mwisho katika Tz, na Makonda anamuwakilisha. Hapo unaonaje?
 
Yule mkuu wa malaika aliyesema atauua upinzani, alikuwa anamaanisha upinzani upi!? Kwani wale wabunge wa COVID-19 mnawaolazimisha kuwepo bungeni nyie mnadai ni WA chama Gani Tena!? Hebu nikumbushe kidogo hapo.
Nijuavyo umeshakufa siku nyingi. Ndiyo maana nikakuuliza bado kuna upinzani Tanzania? Maana hawana support yoyote ya Watanzania.
 
Mwenye akili timamu ni wewe unayeshabikia muuaji Makonda!? By the way, kwani wewe ndiye unamchagua Lema au wananchi!? Wapumbavu wa ccm mnajivua nguo hadharani. Vichaa nyie.
[emoji1787][emoji1787] Mimi siyapendi ma ccm lakini nashangaa mnavyo chezeshwa kwata na uyo mama hadi mnaacha maswala ya msingi mna pambana na Makonda kama hamnazo.

Wajinga niwengi.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Kumbe Rais ndiye anaamua kugawa majimbo kwa watu anaowataka yeye? CDM mmeskiaaa...
 
Tukienda mbele na tukarudi nyuma, Lema hawezi tena kushinda Arusha. Chadema labda watafute mtu mwingine. Lema hana tena mvuto Arusha.
 
Tukienda mbele na tukarudi nyuma, Lema hawezi tena kushinda Arusha. Chadema labda watafute mtu mwingine. Lema hana tena mvuto Arusha.
Kabisa ,analazimisha kupendwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo kimsingi anazidi kujiharibia shauri ya uropokaji wake
 
Kabisa ,analazimisha kupendwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo kimsingi anazidi kujiharibia shauri ya uropokaji wake
Anguko la chadema Arusha, lipo mikononi mwake. Ni either mtu mwingine ndani ya Chadema au CCM warudi hewani.
 
Nijuavyo umeshakufa siku nyingi. Ndiyo maana nikakuuliza bado kuna upinzani Tanzania? Maana hawana support yoyote ya Watanzania.
Exactly, kiukweli kabisa wananchi tunaogopa CCM kuendelea kuwepo madarakani ila tunaogopa zaidi kama CHADEMA ya kina Lema ikiingia madarakani. Wengi tunaombea atokee Magufuli mwingine kwenye CCM alete changes ila upinzani hawana mvuto kabisa mitaani.
 
Back
Top Bottom