Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Samahani wewe ni KE ama ME?Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha.
Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni.
Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya kwa kutofahamu kuwa BOT imeshatoa ACT kutotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY hapa nchini....
"The National Payments System Act of 2015" inakataza "unlicenced digital payments".
Lema bana anawaangusha "makamanda" wanaopelekwapelekwa kama MANYUMBU ,ha ha ha ha
#Mama Samia anaupiga mwingi sanaaaa !
Samahani hilo ni swali la kijinga...Samahani wewe ni KE ama ME?
lema na kiongozi wake ni vibaka wa kisiasa nchini, wapuuzwe tu 🐒Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha.
Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni.
Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya kwa kutofahamu kuwa BOT imeshatoa "ACT" kutotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY hapa nchini....
"The National Payments System Act of 2015" inakataza "unlicenced digital payments".
Lema bana anawaangusha "makamanda" wanaopelekwapelekwa kama MANYUMBU ,ha ha ha ha
#Mama Samia anaupiga mwingi sanaaaa !
Tuliza kipulizo hicho wewe cdm for lifelema na kiongozi wake ni vibaka wa kisiasa nchini, wapuuzwe tu 🐒
Hivi serikali kuyapiga biti mahoteli wasiwape hall la kufanyia mkutano hawaoni kama ni upuuzi uliokithiri? Wao kama serikali wanategemea kodi, hii nchi inakuwa masikini kwa upuuzi wa siasa. Wamejiongeza wakafanyia kwenye ofisi zao kwa upuuzi wa serikali kukosa maono na kuzikosesha hotels pesa na wao kukosa kodi.Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha.
Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni.
Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya kwa kutofahamu kuwa BOT imeshatoa "ACT" kutotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY hapa nchini....
"The National Payments System Act of 2015" inakataza "unlicenced digital payments".
Lema bana anawaangusha "makamanda" wanaopelekwapelekwa kama MANYUMBU ,ha ha ha ha
#Mama Samia anaupiga mwingi sanaaaa !
Mimi na wewe tumeanza kuwapuuza hawa MATAPELI.....lema na kiongozi wake ni vibaka wa kisiasa nchini, wapuuzwe tu 🐒
Kwa njia ya CRYPTOCURRENCY ?!!Chadema Leo hii tu zimeingia bilioni mbili. Mtanyooka mwaka huu
Tena wazimu haswa....Lema huwa anaongelea mambo kama vile yuko sayari ya Mars ha ha haWazimu wa CDM uwa unawatosha wao wenyewe.
Ingependeza ungeweka japo clip kusikiliza upuuzi alio ongea.
Akili zake zinamtoshaga mwenyewe saa zingine.Tena wazimu haswa....Lema huwa anaongelea mambo kama vile yuko sayari ya Mars ha ha ha
Hawezi kuweka, maana Lema amesema “kama tukiruhusiwa” hii inamaana haitumiki bado lakini serikali ikija kuona inafaa wanaweza ruhusu.Wazimu wa CDM uwa unawatosha wao wenyewe.
Ingependeza ungeweka japo clip kusikiliza upuuzi alio ongea.
Busara ni kuweka clip, tusikie alichosema.Hawezi kuweka, maana Lema amesema “kama tukiruhusiwa” hii inamaana haitumiki bado lakini serikali ikija kuona inafaa wanaweza ruhusu.
Thread 'Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone'Busara ni kuweka clip, tusikie alichosema.
Ha ha ha na alivyo mjinga eti inasema "....kama sheria zitamruhusu...".Akili zake zinamtoshaga mwenyewe saa zingine.
....kwa hiyo hilo "bakuli la michango " linasubiri mabadiliko ya hiyo sheria ?!! Ha ha ha hauko serious ,!Hawezi kuweka, maana Lema amesema “kama tukiruhusiwa” hii inamaana haitumiki bado lakini serikali ikija kuona inafaa wanaweza ruhusu.
Wanacheza tu, utafanya hadi lini? Chadema ni imani unauaje uislamu au ukristo mioyoni kwa watu? Tumia nguvu kujidhalilisha tu kama yule polisi mama wa Geita na watoto wasio na ajira mwisho utakubali tuHivi serikali kuyapiga biti mahoteli wasiwape hall la kufanyia mkutano hawaoni kama ni upuuzi uliokithiri? Wao kama serikali wanategemea kodi, hii nchi inakuwa masikini kwa upuuzi wa siasa. Wamejiongeza wakafanyia kwenye ofisi zao kwa upuuzi wa serikali kukosa maono na kuzikosesha hotels pesa na wao kukosa kodi.
Sheria iko ACTIVE...na wao wanaihitaji hiyo michango....sasa michango itasubiri mabadiliko ya sheria ilihali pana ukata ,waya mkali hapo makaoni kwao ?!!Thread 'Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone'
Pre GE2025 - Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone