LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwani wakati TANU inapigania uhuru pesa ilipata Toka wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana matatizo, ngoja nimsikilize; kwa sababu ni kipi kwanza ambacho kinamzuia mtu kufanya transfer ya crypto kwenda kwenye account yake.Ha ha ha na alivyo mjinga eti inasema "....kama sheria zitamruhusu...".
Sheria imetungwa mwaka 2015....kabla hata hajakwenda Canada kula "bata" kwa njia za visingizio ha ha ha kweli Lema mtu wa vituko.....
Hiyo ni extra option tu kijana zingine zinafanya kazi fweza zinaingia tu kama kawa, itakuja na roho mbaya wakati wanaume wanasonga mbele kukomboa nchi toka kwa mafisadiSheria iko ACTIVE...na wao wanaihitaji hiyo michango....sasa michango itasubiri mabadiliko ya sheria ilihali pana ukata ,waya mkali hapo makaoni kwao ?!!
....LBL walikamatwa kuisigina sheria ya BOT.....kwa hiyo Lema na wenzake wanavunja sheria ya FEDHA hadharani ,si ndio meku ?!!Hiyo ni extra option tu zingine zinafanya kazi fweza zinaingia tu kama kawa, itakuja na roho mbaya wakati wanaume wanasonga mbele kukomboa nchi toka kwa mafisadi
Unabwabwaja tu hakuna unachokielewa.....kwa hiyo hilo "bakuli la michango " linasubiri mabadiliko ya hiyo sheria ?!! Ha ha ha hauko serious ,!
Męku ni sawa na maku? Sijaelewa Kiongozi msamiati huu....LBL walikamatwa kuisigina sheria ya BOT.....kwa hiyo Lema na wenzake wanavunja sheria ya FEDHA hadharani ,si ndio meku ?!!
Accounts za michango zote ziko wazi. Onyesha hiyo Crypto Address ya chadema inayopokea michango.Sheria iko ACTIVE...na wao wanaihitaji hiyo michango....sasa michango itasubiri mabadiliko ya sheria ilihali pana ukata ,waya mkali hapo makaoni kwao ?!!
Unapambana hasa!Sheria iko ACTIVE...na wao wanaihitaji hiyo michango....sasa michango itasubiri mabadiliko ya sheria ilihali pana ukata ,waya mkali hapo makaoni kwao ?!!
....LBL walikamatwa kuisigina sheria ya BOT.....kwa hiyo Lema na wenzake wanavunja sheria ya FEDHA hadharani ,si ndio meku ?!!
Mbele giza ndio shida lakiniUnapambana hasa!
Umeandika ujinga tupu. Tulia usubiri kupewa chumvi na viberiti hapo octobaWako hoi kiuchumi ,taabani kifedha.
Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni.
Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya kwa kutofahamu kuwa BOT imeshatoa "ACT" kutotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY hapa nchini....
"The National Payments System Act of 2015" inakataza "unlicenced digital payments".
Lema bana anawaangusha "makamanda" wanaopelekwapelekwa kama MANYUMBU ,ha ha ha ha
#Mama Samia anaupiga mwingi sanaaaa !
Tuliza boli dogo mpira pass wacha watu wafanye kaziWako hoi kiuchumi ,taabani kifedha.
Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni.
Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya kwa kutofahamu kuwa BOT imeshatoa "ACT" kutotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY hapa nchini....
"The National Payments System Act of 2015" inakataza "unlicenced digital payments".
Lema bana anawaangusha "makamanda" wanaopelekwapelekwa kama MANYUMBU ,ha ha ha ha
#Mama Samia anaupiga mwingi sanaaaa !
No reforms no electionlema na kiongozi wake ni vibaka wa kisiasa nchini, wapuuzwe tu 🐒
much appreciations kwako, umenisaidia pakubwa sana kunifumbua macho na kunijuza kuwa mleta mada ndugu Mkunazi Njiwa ni Kilaza aliyetukuka popoma kabisaaaaKwa hiyo mama yetu na mawaziri vijana kadhaa wanavunja sheria yao? Mama kahifadhi za kutosha na mawaziri wake, wakiwa nazo chadema dhambi na sheria zimevunjwa? Wao wanazitaoje? Mbona mama yetu kalipwa crypto nyingi tu?
Hauhitaji kibali cha mtu wala taasisi yoyote duniani kumiliki asset kwenye blockchain kijana, na hao watungasheria wanaogonga meza deile hawajui lolote wanapoletewa sheria kupitisha wanagonga tu maisha yaende.
Halafu mama yetu hapa alikua anapromote nini?
![]()
President Samia gives cryptocurrency markets a boost, as Bitcoin closes on $40,000
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan’s speech on Sunday on cryptocurrency has given Bitcoin a much-needed shot in the arm after delivering positive news for the markets.www.thecitizen.co.tz
View: https://www.youtube.com/watch?v=88vRH-iqET0
Jielimishe kijana...
much appreciations kwako, umenisaidia pakubwa sana kunifumbua macho na kunijuza kuwa mleta mada ndugu Mkunazi Njiwa ni Kilaza aliyetukuka popoma kabisaaaa
Hawezi kuweka, maana Lema amesema “kama tukiruhusiwa” hii inamaana haitumiki bado lakini serikali ikija kuona inafaa wanaweza ruhusu.