johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sio kweli otherwise uwe hujitambui ..Ni sawa na mkristo kuingia msikitini na kuanza kuhubiria hbr za yesu kusulubiwa msabani
Bavicha ni wasahaulifu sana!Mara hii wameshasahau Mo alishawahi kuwa mbunge wa CCM
Akili kichwani bwashee....... Yanga ni mali ya CCM kwa 100% lakini Mbowe na Mdee ni wapenzi wakubwa wa timu hiyo ya vyura aka kandambili!Sisi wanasimba tusio CCM tufanye nini?
Sisi wanasimba tusio CCM tufanye nini?
Sisi wanasimba tusio CCM tufanye nini?
Mkuu hawa watu hawa... hawa watu hawa...hawa watu mimi kuna kipindi niligombana sana na Chadema kwa sababu walikuwa kama wanawatetea walipofikwa na masaibu. Hawa siyo watu wa kutetea hata kidogo na wapo kwa maslahi ya matumbo yao na ndugu zao. Ndiyo maana mimi mpira wa Bongo nilishaupiga kiatu siku nyingi sana na sifufuatilii kwa namna yoyote. Hata kwenye hivyo vilabu hawa watu wako kimaslahi tu. Nilishakataa kuburuzwa nao tena.Chapa za uso Mkuu. Kule Twitter kapata habari yake na sidhani kama atarudia upuuzi wake alioufanya jana wa kuihusisha Simba na genge la wahuni la maccm.
Abadili mara ngapi bwashee?Sio ndani ya Simba kama Mbabe Abadili na JEZI ZA SIMBA
Mkuu hawa watu hawa... hawa watu hawa...hawa watu mimi kuna kipindi niligombana sana na Chadema kwa sababu walikuwa kama wanawatetea walipofikwa na masaibu. Hawa siyo watu wa kutetea hata kidogo na wapo kwa maslahi ya matumbo yao na ndugu zao. Ndiyo maana mimi mpira wa Bongo nilishaupiga kiatu siku nyingi sana na sifufuatilii kwa namna yoyote. Hata kwenye hivyo vilabu hawa watu wako kimaslahi tu. Nilishakataa kuburuzwa nao tena.
Hamieni Gwambina FCSisi wanasimba tusio CCM tufanye nini?
Umiliki wa Katumbi huwezi kumfananisha na MO.Mo ni CCM na Simba na Yanga ni mali za CCM.full stop.
nikawaida tu.hata tp mazembe inamilikiwa na mwanasiasa na pia mfanyabiashara Moiss Katumbi.
Kama kabla hujaingia uwanjani kuiona Simba ikicheza wanakuuliza Kadi ya CCM basi Hamia Timu nyingine...Sisi wanasimba tusio CCM tufanye nini?
Embu jaribu siku moja kuingia msikitini uhubiri habari za Yesu uone utakavyokuwaInaweza kuwa hadhara nzuri kumtangaza Kristo kwa wasio mjua