Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
Wadau heshima kwenu,

Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje? Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.

Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?

Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika.

Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.

Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.

Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
 
Kaka Mungu anasikiliza kila Mtu, mchawi na Mtakatifu, hata siku za Ayubu Shetani alipewa nafasi

Mbona JPM anapoomba mumuombee huji kulalamika?

Waache watu waombe wanavyojisikia Na yeye (Mungu) ndio atakayeamua apokee yepi
 
Wadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?

Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.

Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?

Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,

Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.

Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.

Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
Wewe ninani?? mpaka uamuru mtu afungwe? nikweli kaota hivyo!Kosa liko wapi? na kaota hivyo na kumpa taadhali kwa kile alichokiota au wewe una akili za kimwendo kasi ujui dunia inaenda vipi??
 
Wewe ninani?? mpaka uamuru mtu afungwe? nikweli kaota hivyo!Kosa liko wapi? na kaota hivyo na kumpa taadhali kwa kile alichokiota au wewe una akili za kimwendo kasi ujui dunia inaenda vipi??

Ngoja sasa safari hii ataotea Jela
 
Hata Polisi wanajua Lema hana kosa, ndio maana wanachelewa kumpeleka magakamani
 
SHERIA INASEMAJE KAMA UMEOTA NDOTO FLANI, KOSA NI KUOTA AU KUTANGAZA NDOTO, AU KUMUOTA MTU MKUU.

AU KUNA NDOTO ZA KISIASA NA NYINGINE NI ZA KAWAIDA, UKISINGIZIA UMEOTA PIA SHERIA INASEMAJE. MSAADA MAANA SIKU HIZI MAARIFA YAMEONGEZEKA.
 
Kuna tofauti kati ya ndoto maono na ujumbe wa kiroho. Kama haujui tofauti hiyo waulize watu wa rohoni wakueleze. Pia kuna namna nyingi ambazo Mungu anaweza kujibu maombi ya mtu. I mani Siyo jambo dogo ambayo mtu anaweza kulichukulia kirahisi raising. Soma bibliography utaelewa Maana na tofauti ya hizo jumbe
 
SHERIA INASEMAJE KAMA UMEOTA NDOTO FLANI, KOSA NI KUOTA AU KUTANGAZA NDOTO, AU KUMUOTA MTU MKUU.

AU KUNA NDOTO ZA KISIASA NA NYINGINE NI ZA KAWAIDA, UKISINGIZIA UMEOTA PIA SHERIA INASEMAJE. MSAADA MAANA SIKU HIZI MAARIFA YAMEONGEZEKA.

kama ni utabiri ilifaa awe registered, atambulike kisheria lakini sio unalala unaamka unamuotea rais halafu huku mke nae anatuma meseji za kumuita mkuu mwingine shoga.

Hili jambo nila kushughulikia maana kuna mengine yanapitia humo.
Ajieleze ni lini na tangu lini yeye ni mtabiri
 
Back
Top Bottom