MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,924
- 6,854
Badilisha kauli, usiseme "tumemchoka" bila kuonyesha takwimu wewe na nani au mkowangapi na wanwapi kwa sababu huna mamlaka yoyote ya kuwawakilisha watanzania wote lau hata wapiga kura wake!; usijipe mamlaka usiyokuwa nayo, ni jinai! Lema yuko vizuri, anajua anachokifanya na wapiga kura wake wanamuunga mkono ndio maana anatembea kifua mbele na kusema anayoyasema na kufanya anayoyafanya; tulia crystapen ikolee!
Wadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?
Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,