Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Nadhani kupitia lema lazima mzizi wa fitina ukatwe lasivyo nchi hii tutawakabili chama mfu iwapo watamdhulu rais wetu, sisi tunaomuunga mkono rais tupo wengi zaidiWadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?
Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
Mkuu wala usipate shida na Lema, yeye alidai ni maono na sio ndoto. Na alitoa mfano wa maono aliyopata ya kuwa mbunge na akawa mbunge. Kwa hiyo usikasirikie maona ya Lema, kuna maono ya Mungu na ya shetani, kama ni ya Mungu yatatimia, kama ni ya shetani yatatoweka kama yalivyokuja.Wadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?
Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
km umejitoa ufaham na kushindwa kuona connection yangu na mada yako basi sawa,endelea ..Usichanganye mada wewe ishu fao inaingiaje hapa, weka uzi wa fao uuone msimamo wangu.
Hivi kwa akili yako huyo mtu wako.anajielewa, kusudio lake analiita ndoto tumanyamazie?
Hili piga ua hatutokubali kamwe
.....hii maneno ya chama mfu chadema inaonekana nyuma ya pazia wana mikakati ya kutekeleza mauaji ya rais wetu, kwani hata ukitembelea moshi au kama una mwanachadema ofisini basi utasikia hii kauli "Magufuli haifiki 2020" mimi imekuwa ikinikera sana kusikia, sasa ukiwauliza atashindwaje kufika 2020? Je mmepatia sumu afe taratibu au??? Je mmeandaa wadunguaji?? Yote hayo majibu yao eti hafiki. Ila sasa uzuri Mungu wa Dkt Magufuli ni Mkuu kaanza kuwaumbua wanajisema mpaka hadharani kuwa sasa rais hafiki 2020. Nadhani kupitia lema lazima mzizi wa fitina ukatwe lasivyo nchi hii tutawakabili chama mfu iwapo watamdhulu rais wetu, sisi tunaomuunga mkono rais tupo wengi zaidi
Ni kweli usalama wa taifa nadhani watakuwa sasa wanafanyia kazi kauli yake. Nakumbuka kuna kipindi hapa JF nilishaleta uzi wa kulalamikia juu ya hii kauli ya wanachama mfu chadema ila uzi ulifutwa gafla. Sasa nashukuru Mungu kawaumbua wameanza kujisema wenyewe juu ya mipango yao ovu ya kumuangamiza rais wetu na ustawi wake. Tunamuhitaji Dkt Magufuli zaidi ya yeye anavyolihitaji taifa letu.Tunajua inawauma sana JPM kuwa ndio Rais, walimtaka mwingine, ndio ukiangalia hii ni coalition ya kikanda ndio inahangaika na mhe Rais.
, narudia tena hatutakubali huu upuuzi mtu anaweka mikakati.ovu halafu anatumia neno maono/ndoto ili taarifa yake ifike.
Usalama wa taifa ni lazima waweze kuwa na angalizo jumbe kama hizi sio za kupuuuzia.
Huyo.jamaa anaongozwa na shetani
Huwezi kulazimisha watu kumkubali kiongozi ambaye hawakumpenda......hii maneno ya chama mfu chadema inaonekana nyuma ya pazia wana mikakati ya kutekeleza mauaji ya rais wetu, kwani hata ukitembelea moshi au kama una mwanachadema ofisini basi utasikia hii kauli "Magufuli haifiki 2020" mimi imekuwa ikinikera sana kusikia, sasa ukiwauliza atashindwaje kufika 2020? Je mmepatia sumu afe taratibu au??? Je mmeandaa wadunguaji?? Yote hayo majibu yao eti hafiki. Ila sasa uzuri Mungu wa Dkt Magufuli ni Mkuu kaanza kuwaumbua wanajisema mpaka hadharani kuwa sasa rais hafiki 2020. Nadhani kupitia lema lazima mzizi wa fitina ukatwe lasivyo nchi hii tutawakabili chama mfu iwapo watamdhulu rais wetu, sisi tunaomuunga mkono rais tupo wengi zaidi
Mkuu wala usipate shida na Lema, yeye alidai ni maono na sio ndoto. Na alitoa mfano wa maono aliyopata ya kuwa mbunge na akawa mbunge. Kwa hiyo usikasirikie maona ya Lema, kuna maono ya Mungu na ya shetani, kama ni ya Mungu yatatimia, kama ni ya shetani yatatoweka kama yalivyokuja.
Sioni ni vipi mahakama inaweza kusikiliza kesi ya maono. Haya ni mambo ya kupuuza tu wala hayahitaji kupewa uzito kiasi hiki. Lema ana uwezo gani kwa kusuka mbinu za kumuua raisi kama unavyodai? Hivi Lema ni mtu hatari kiasi hicho? Hapana, you are making a mountain out of a molehill!
Huyu jamaa anapapenda sero, anapenda kuswekwa ndani.
Ngoja wampe discipline
Hata sisi hatuwezi kukubali mpange mauaji ya rais tuliyempenda na kumchagua. Ninyi chama mfu ni wauaji, mnapanga kumuua rais wetu matokeo yake mipango yenu inaanza kufichuka kabla hamjatekeleza.Na mjue tupo wengi, lazima tuwamalize na ninyi mkithubutu kumgusa rais wetu.Huwezi kulazimisha watu kumkubali kiongozi ambaye hawakumpenda.
Hizi Akili za Mwendokasi ndo za kujenga Viwanda! Tusubiri Karne nyingine [emoji26]Wadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?
Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
tujifunze kutenda haki kwa wote,sio kushabikia upande mmoja na kukandia upande mwingine, kwa mambo yanayohitaji haki sawaNimejenga hoja kumtetea Mhe rais, huyo uliyetaja hapo hata nuru ya ikulu hataiona labda baada 2025
Siku Wanaonyanyaswa Watakapoacha Kuvuta Bange Na Kuropoka Ovyo Majukwaani Kwa Kisingizio Cha Demokrasia.Mbona Demokrasia Ya Chadema Haimpi Huyu Mla Bange Kuropoka Ovyo Juu Ya Mtukufu mungu Mbowe Na Chadema ?Manyanyaso inchi hii yataisha lini?