Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mungu mtu Duniani.
Nyanyaseni sana lakini si mnaona yanayotokea?
Okkey umefanya kazi nzuri kachukue buku mbili yako sasaUsichanganye mada wewe ishu fao inaingiaje hapa, weka uzi wa fao uuone msimamo wangu.
Hivi kwa akili yako huyo mtu wako.anajielewa, kusudio lake analiita ndoto tumanyamazie?
Hili piga ua hatutokubali kamwe
Lema amechemka big time. Hakuna mtu mwenye mamlaka juu ya kifo klitatokea lini unless kama ni muuaji au anafahamu kuhusu njama za mauaji.. Unaposema fulani atakufa kabla ya mwaka huo na hasa huyo fulani ni Raisi wa nchi kuna implication moja, inawezekana ukawa na knowledge ya njama za kumdhuru Rais na umetumia ndoto kama kisingizio. Hii si ishu ya polisi tena. Inahitaji kuwa handled na usalama wa taifa ambao moja ya majukumu yao ya msingi ni kuhakikisha usalama wa kiongozi wa executive branch.. Lema is ignorant to know the impact of that. Lazima wajiridhishe kwamba anachosema LEma ni maneno tu na si kwamba ana inside knowledge ya njama fulani zinazopangwa.By the time wakijiridhisha kwamba ni maneno tu itakuwa imemgharimu sana yey pamoja na watu wote wote walio karibu yakeTushughulike na mambo ya maana na kuachana na akina Lema na ndoto zao. Kuna watu walishatabiri kwamba mwisho wa dunia ni tarehe fulani, wakaanza kuandaa na wafuasi wao kwa ujio wa pili wa Yesu, Haikutokea! lakini hawakukamatwa na kufungwa au kuwekwa magerezani kwa sababu ilikuwa ni ndoto. Ije kuwa ndoto ya Lema? he can dream of anything.. why waste your time with his dream??
Wadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?
Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
Hivi wewe scorpion akikuotea kuwa nimeota ijumaa utaingiliwa na majambazi utapuuzia?
Unaijua vizuri historia ya lema,? Ni lini kawa mchungaji, narudia tena unaijua.vizuri historia ya lema???
Hakuna mtu mwenye mamlaka juu ya kifo. Ni Mungu pekee. Unaposema fulani atakufa kabla ya mwaka huo na hasa huyo fulani ni Raisi wa nchi kuna implication moja, inawezekana ukawa na knowledge ya njama za kumdhuru Rais na umetumia ndoto kama kisingizio. Hii si ishu ya polisi tena. Inahitaji kuwa handled na usalama wa taifa...
Argument yako haingalii sensitivity ya usalama wa Rais na usalama wa taifa kwa ujumla. Usalama wa taifa lazima ujiridhishe kwamba anachoongea Lema ni maneno tu na si inside knowledge ya assassination plot.Yes, umesema vizuri sana, lakini umepoteza logic ya argument yako mahali fulani. Kama ni kweli kwamba hakuna MTU mwenye Mamlaka makubwa kama MUNGU, je would you care MTU (Asiyekuwa MUNGU) akikwambia kwamba utakufa kesho??? Why would you care if you know that person is not the omnipotent GOD??? Look, reality don't contract. Kama utaogopa na kumkamata mtu anayesema utakufa kesho, na wakati huo huo unaamini kwamba ni Mungu pekee ndiye mwenye nguvu na mamlaka, you are a coward.
Argument yako haingalii sensitivity ya usalama wa Rais na usalama wa taifa kwa ujumla. Usalama wa taifa lazima ujiridhishe kwamba anachoongea Lema ni maneno tu na si inside knowledge ya assassination plot
umeachagua kutokuelewa kamwe hutaelewa nachoongeaa..Usalama wa taifa wanafuatilia "ndoto" za watu? mtu akisema kesho ameota ndoto JPM akipaa mbinguni, usalama wa taifa wataanza kuchunguza kama Rais ataibiwa?? you a bit oc common sense Muzee...
umeachagua kutokuelewa kamwe hutaelewa nachoongeaa..
Magufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
Magu ataishi milele kwa yote anayoyafanya hawezi kufa kabisaWadau heshima kwenu.