Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani siku hizi tunachaguliana aina za ndoto za kuota???Magufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
Yaani unasema Lema apuuzwe? Lema ubamfahamu, au umemsikia tu?kazi ipo mambo mengine ni kuyapuuzia
sasa mbona unatuchosha tu, kwa mfano mimi nimeota wewe utakufa wiki ijayo, unasemaje?!!Nimetoa mfano wa scorpion utaamini vipi kama scorpion kaota au anakusudia
Mi mara nyingi naota nawagegeda mabinti, ila kila nnaye muota nikimtokea ananpiga kibuti. Hizo ndoto za alinacha tuWewe ninani?? mpaka uamuru mtu afungwe? nikweli kaota hivyo!Kosa liko wapi? na kaota hivyo na kumpa taadhali kwa kile alichokiota au wewe una akili za kimwendo kasi ujui dunia inaenda vipi??
Thibitisha kuwa sio ndoto ni kusudio lakeUsichanganye mada wewe ishu fao inaingiaje hapa, weka uzi wa fao uuone msimamo wangu.
Hivi kwa akili yako huyo mtu wako.anajielewa, kusudio lake analiita ndoto tumanyamazie?
Hili piga ua hatutokubali kamwe
sasa mbona unatuchosha tu, kwa mfano mimi nimeota wewe utakufa wiki ijayo, unasemaje?!!
Kuna watu humu wanatetea kuwa ana haki ya kutangaza ndoto yake hadharani.
Imagine angeota amekulaza anakukamua halafu atangaze...,bado ungetetea kuwa anahaki na ndoto yake!!!???
Wanapuuzaje wakati wanaendesha nchi kama wako kwenye ligi?! Wakajifunze kwa mtangulizi wao jinsi alivyokuwa anaendesha mambo bila jazba na visasi!!kazi ipo mambo mengine ni kuyapuuzia
Unajua bwana lema namshangaaa angeweza ku rewind rekodi yake alikotoka ( car thief ) angejituliza tulii. Maana hatujui pengine kwenye hizo harakati zake za kukwapua cars za watu, hatujui inawezekana alishaua au kujeruhi watu, siri hiyo anayo moyoni mwake. Hivyo namshauri aache jeuri na kashfa kwani hata yeye hana rekodi nzuri hivyo kuwaombea wenzake mabaya anazidi kujiangamiza. Amuombe mungu wake amsamehe makosa yake.Watu wanasema wanamwakilishi, mwakilishi wa kuombea mabaya wenzake, Mungu gani huyo, Akae huko na.shetani wake
nimeoteshwa kuwa alieandika utumbo huu ni mwendawazimuKuna ndugu yangu mmoja nilimwambia tumpigie kura Magufuli akasema ameoteshwa na Mungu kuwa Lowasa ndiye Rais na wanamuombea ili aje kuapishwa siku waliyoelekezwa na Mungu wao, kuhusu Lema na watu wanaofanana na yeye ni wendawazimu wanaodhani wanamtumikia Mungu kumbe shetani kawadhibiti vilivyo kuna wakati Lema huyohuyo alifika mahali akaenda mochwari kuomba ili marehemu ndugu yake au rafiki yake afufuke wakati tayari ameshachomwa formalin(dawa ya kuzuia maiti isioze) Katika hali ya kawaida ukiona mtu analazimisha kubadilisha ukweli kama vile jua linatokea magharibi na siyo mashariki basi funga kamba peleka mirembe huko kufunga kula kwakuwa anateswa na shetani anaweza funga kweli mpaka akafa nimeona watu watatu wamekufa kwa kufunga siku sitini wakidai Yesu kawaambia KIFUPI LEMA NI MGONJWA WA AKILI KAMA WALIVYO VICHAA WENGINE NA MAHALI PAKE NI MILEMBE SIYO GEREZANI.
Hiyo ndoto ilikuwa/alioteshwa peke yake ili abaki nayo peke yake, Uraiani ndoto yake alileta ili iweje ? Kama Mungu alihitaji tufaham wote aliyoyaota Lema basi kila mtu angeota ndoto hiyo aliyoota.Magufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
kwa hio aliyosema lema yana impact gani kwa rais hio kubwa,its his choice yaan rais kuamin au kutoamin kwisha!! na kama ni kweli au uongo unahakika gani. hio mambo imekaa kiimani zaid,cdhani km inafit kwenye sheria zetu,alisema kakobe kua anatabir anguko la ccm,mbona hamkuenda mahakamani wala hamkumletea police,u re the kids, actions zenu zinasadifu. sasa mnachezeshwa na ninyi mnacheza.Mimi sio.rais.na.impact yangu ni ndogo, majukumu yangu yanaishia kwa jamii.ndogo.sana so far I'm done for kids.
Wewe niotee kama.hutatembea mwenyewe, mshindwe kwa kauli kejeli