mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Ukitaka kujua watu wa Arusha mjini akili zao zikoje....mtazame mbunge wao lema anawakilisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?
Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
Dawa za kuwatuliza vichwa vyao itakua ni tatizo kubwa!mirembe itajaa kupita kiasi!bahati mbaya hata kufanya kazi halali mijitu kama hii haiwez labda wizi!huoni kama itakua balaa?Tanzania inahitaji akina Lema wakutosha...
Uko sawa Brother...[emoji111] [emoji111] [emoji109]Kaka Mungu anasikiliza kila Mtu, mchawi na Mtakatifu, hata siku za Ayubu Shetani alipewa nafasi
Mbona JPM anapoomba mumuombee huji kulalamika?
Waache watu waombe wanavyojisikia Na yeye (Mungu) ndio atakayeamua apokee yepi
Mbona hakuoteshwa kuwa mbowe anadaiwa na NHC na akamstua kabla hajaaibishwa?Wadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?
Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
Watu wanasema wanamwakilishi, mwakilishi wa kuombea mabaya wenzake, Mungu gani huyo, Akae huko na.shetani wake
Kazi ndogo sana hiyo hata mbwa anaiwezanani anaua watu?
mungu au shetani?
Rais bongo,obama atakuwa nani!!!!Nasikia anasusa chakula huko lupango kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mungu. Inawezekana pia Mungu anataka kummaliza kwa njaa maana alisema rais atakufa kabla ya 2020, sasa ataisoma namba
Kwani wewe inakukera nini kama yeye akiisoma namba .....acha wivu .....Nasikia anasusa chakula huko lupango kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mungu. Inawezekana pia Mungu anataka kummaliza kwa njaa maana alisema rais atakufa kabla ya 2020, sasa ataisoma namba
Jela wanakula bure, namba tunaisoma sisi tunaohangaika mitaani kutafuta vyakula. Jela wataisoma namba wakiambiwa haya tafuteni chakula chenu humuhumu ndani.....Nasikia anasusa chakula huko lupango kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mungu. Inawezekana pia Mungu anataka kummaliza kwa njaa maana alisema rais atakufa kabla ya 2020, sasa ataisoma namba
Mi nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu,kwani Lema hawezikuota,na kama anaweza kuota kwanini asiwe huru kusema yale anayoota,hii hali hii kama kweli ameota halafu anatendewa hivyo,hii inaweza kupelekea baadhi ya watu wakaanza kumwombea kimyakimya na hivyo ikageuka ikawa laana kwa watesi.
Una uhakika kama anaigiza,usiwe mwepesi kuhitimisha kitu ambacho huna uhakika.Angesema TB Joshua ungeshauri akakamatwe au ungeishauri serikali ifanyaje,acha kushabikia vitu ambavyo vinaonekana dhahiri kua ni vya uinevu.Ngoja akanyee debe kwanza, maisha ya maigizo yatamuisha tu
Hahaha mnaogopa ndoto eikeiei maono eeeh mione vileeWadau heshima kwenu.