Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Yule alikuwa anakamata anapiga anatupa porini halafu wakiokota kesho anakuja kukucheki hospitali kukupa pole (muulize Kubenea na Ulimboka)😀😀. Kama ulivyosema itabidi turudi kutumia hizo staili asante sana kwa ushauri wako. Lema naye yatamkuta siku si nyingi..

Umenikumbusha pori la.mabwepande, ni.maarufu kweli.kwa matukio tatanishi
 
Lema mbunge wa arsh mkazi wa nachingwea anamchoka...pia jando inasaidia kuwa na ufahamu mpana¡¡¡
 
Magufuli ataishi milele?

Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
kwendeni zenu. usijifanye hauelewi lema ana maanisha nini. wewe hapo tunajua iko siku yako utakufa. lakini nikitangazia watu nimepata maono usipomwacha mkeo unayempenda kabla ya mwisho wa mwaka utakufa. bila shaka hapo kuna hila mbaya.
 
kwendeni zenu. usijifanye hauelewi lema ana maanisha nini. wewe hapo tunajua iko siku yako utakufa. lakini nikitangazia watu nimepata maono usipomwacha mkeo unayempenda kabla ya mwisho wa mwaka utakufa. bila shaka hapo kuna hila mbaya.
Huyo anayejiita The Boss akili yake haijatengemaa tangu mamvi abwagwe kwenye uchaguzi uliopita.
 
Mimi pia naliombea Taifa langu la Tanzania na pia nalaani wale viongozi wote wa nchi hii wanaoliangamiza taifa
Kuna watu wamelitoa sada kwa shetani taifa hili kwahyo lazima sisi tunaomjua na kumuomba Mungu lazima tusimame kwenye nafasi zetu
Mungu anasema na Nabii Yeremia ya kwamba,nimekuweka Ili kubomoa na kuangamiza
Pia Biblia inaagiza usimuache mchawi kuishi...kwa jinsi hii kila mchawi wa maendeleo ya nchi hii kufa na afe asema Bwana..na hapo bado acha tusimame kwenye dhamu zetu mtasikia makuu zaidi ya hayo myasikiayo kama watu hawataki kujirekebisha.. Maana Mungu wetu si wa kudhihakiwa
 
Dah..Kuna mtu kafananishwa na Lema hapa kitaa ......pamechimbika hivi sasa😀😀😀😀
 
Nimeoteshwa sasa hivi wewe na mjombao TB MKANDAHARI MTAKUFA KWA KUNYONGWA KESHO SAA NANE USIKU KAMA MSITUBU DHAMBI ZENU KWANGU
Nenda kafie mbali huko kenge wewe. Huyo boya wako unaemtetea ndo atanyongwa sio mimi
 
Una uhakika kama anaigiza,usiwe mwepesi kuhitimisha kitu ambacho huna uhakika.Angesema TB Joshua ungeshauri akakamatwe au ungeishauri serikali ifanyaje,acha kushabikia vitu ambavyo vinaonekana dhahiri kua ni vya uinevu.

Ya kaisazi mpe kaizari na ya Mungu apewe Mungu.
Msituchanganyie tunguri na neno la Mungu mtaumbuka.

Huyo TB Joshua nae ashaanza kuchuja alimtabiria El akapigwa, Kamtabiria Clinton nae Chali

Sasa hamuoni kama mnalitumia vibaya neno la Mungu
 
huwa najiuliza mateso yoote unayapata ila hata uweka hazina chama huambulii.

duh!
 
Kuna watu wanaota ndoto nyingi, kuna waoota wakila orada wake za wenzao,wengine wanaota wakiwalawiti wenzao, na wengine wanota wakipata maono kuwaonya watawala ili wajirekebishe na kupona, kuna wanaoota uvumbuzi wa silaha za kuangamiza nchi na kuzipindua serikali. Ila ndotoo bila kuifanya reality sio ndoto.Sasa sijui kwanini mtu aogope ndoto za wengine?
 
Back
Top Bottom