mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Lema akimwambia baba yako au mwenyewe maneno kama hayo utafurahi?Magufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema akimwambia baba yako au mwenyewe maneno kama hayo utafurahi?Magufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
Kwani nikiota nimemwajiri babako ktk kazi ya kuzibua choo na kumfanya manager wa wazibua vyoo.NI lazima uchukie?Lema akimwambia baba yako au mwenyewe maneno kama hayo utafurahi?
Wazi kwa nani?hakumbuki badoo kauli hata jiwe au bar made akivishwa bendera a chadema atapigiwa kura?Na Lema atarudi kuhamasisha kitaifa, apige kotekote nchini. Soon CCM taifa watahitaji jitokeza na kula matapishi yao.Kama ni kosa la jinai jimbo liko wazi soon
Kuna watu wanaota ndoto nyingi, kuna waoota wakila orada wake za wenzao,wengine wanaota wakiwalawiti wenzao, na wengine wanota wakipata maono kuwaonya watawala ili wajirekebishe na kupona, kuna wanaoota uvumbuzi wa silaha za kuangamiza nchi na kuzipindua serikali. Ila ndotoo bila kuifanya reality sio ndoto.Sasa sijui kwanini mtu aogope ndoto za wengine?
Ndio umeandika nini sasa[emoji23]Vipi mkuu, mbona unashtuka? Lema lazima ajirekenoshe bila hivyo itakula kwake
Kosa la jinai halithibitishwi kwa hisia tu, lazima kuwe na nia ovu pamoja na kitendo chenyewe.
Hata hivyo, uduni wa fikra, utumwa wa mawazo wa wanaohusika na maandalizi ya mashitaka hupoteza muda na raslimali kwa mambo ya kupuuzwa au kutoa onyo.
Mambo ya kipuuzi yanatakiwa yapuuzwe.
Akikuambia kaota pia na wewe ktk upambe wako utafuatia utaweza meza?.Utakufa ili ukashike mikoba na kuwa mpambe wa wafu wengine unayoihangaikia sana?Ngoja atupatie ushahidi wa hiyo ndoto ya kishenzi na ufilauni.