Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Nasikia anasusa chakula huko lupango kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mungu. Inawezekana pia Mungu anataka kummaliza kwa njaa maana alisema rais atakufa kabla ya 2020, sasa ataisoma namba
Duuuuhhh
 
Tunaomba Mungu Ampe Pumziko La Amani Rais Wetu Mpendwa

Lakini wakati haya yakiendelea tunaomba Daktari wake ; Katibu Mkuu kiongozi na genge lote la wasaidizi wa karibu wakiohusika hasa kwenye utoaji wa Taarifa wawekwe mahali watueleze ni nini kilikua kinaendelea

Kama Alilazwa Rasmi Tarehe 6/3 pamoja na kuwa kuna taarifa aliugua toka tarehe 3/3 na kabla ya tarehe 10/3 Alikua clinically Dead ; ni jambo Gani liliwafanya hadi kuficha habari za huu ugonjwa hadi kufikia viongozi wakuu kila mmoja anaongea lake ina maana ni kama “walimteka”rais na kudhibiti kila kitu pengine kwa manufaaa yao ; basi ni vema wawekwe mahali waseme vizuri !!!
 
kama ni utabiri ilifaa awe registered, atambulike kisheria lakini sio unalala unaamka unamuotea rais halafu huku mke nae anatuma meseji za kumuita mkuu mwingine shoga.

Hili jambo nila kushughulikia maana kuna mengine yanapitia humo.
Ajieleze ni lini na tangu lini yeye ni mtabiri
Ilikuwa ndoto tu na wala sio utabiri mkuu
 
Back
Top Bottom