Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni suala la muda tuMagufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
Hapana hawezi kuishi mileleMagufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
DuuuuhhhNasikia anasusa chakula huko lupango kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mungu. Inawezekana pia Mungu anataka kummaliza kwa njaa maana alisema rais atakufa kabla ya 2020, sasa ataisoma namba
Watu wanafufua makaburi hadi ya 2016.Nasikia anasusa chakula huko lupango kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mungu. Inawezekana pia Mungu anataka kummaliza kwa njaa maana alisema rais atakufa kabla ya 2020, sasa ataisoma namba
Ilikuwa ndoto tu na wala sio utabiri mkuukama ni utabiri ilifaa awe registered, atambulike kisheria lakini sio unalala unaamka unamuotea rais halafu huku mke nae anatuma meseji za kumuita mkuu mwingine shoga.
Hili jambo nila kushughulikia maana kuna mengine yanapitia humo.
Ajieleze ni lini na tangu lini yeye ni mtabiri
AmeenWe reversed it,by the name of Jesus Christ.
Hatimae ndoto imekamilikaMagufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
Wewe Mataga njoo hapa,au tayari na wewe Corona imekuchukua maana una muda kweli haupo hapaNasikia anasusa chakula huko lupango kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mungu. Inawezekana pia Mungu anataka kummaliza kwa njaa maana alisema rais atakufa kabla ya 2020, sasa ataisoma namba
Glory to GodMungu anaenda kutenda miujiza
Hahahahaha! May God heal your headLema haaminiki tena porojo na maigizo vimezidi.
Tatizo Magufuli atakumbukwa kwa mabaya mengi kuliko mazuri.Naona muda umefika wa kwenda kuongoza malaika, maana alisema anatamani akaogoze malaika