Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Lema akimwambia baba yako au mwenyewe maneno kama hayo utafurahi?
Kwani nikiota nimemwajiri babako ktk kazi ya kuzibua choo na kumfanya manager wa wazibua vyoo.NI lazima uchukie?
 
Kama ni kosa la jinai jimbo liko wazi soon
Wazi kwa nani?hakumbuki badoo kauli hata jiwe au bar made akivishwa bendera a chadema atapigiwa kura?Na Lema atarudi kuhamasisha kitaifa, apige kotekote nchini. Soon CCM taifa watahitaji jitokeza na kula matapishi yao.
 
Kuna watu wanaota ndoto nyingi, kuna waoota wakila orada wake za wenzao,wengine wanaota wakiwalawiti wenzao, na wengine wanota wakipata maono kuwaonya watawala ili wajirekebishe na kupona, kuna wanaoota uvumbuzi wa silaha za kuangamiza nchi na kuzipindua serikali. Ila ndotoo bila kuifanya reality sio ndoto.Sasa sijui kwanini mtu aogope ndoto za wengine?

Ngoja atupatie ushahidi wa hiyo ndoto ya kishenzi na ufilauni.
 
So atashtakiwa kwa sheria ipi inayokataza ndoto mfano mm nimeota tupo kwenye tour ya staff tukapata ajari wote tukafa watu wanalia na mm nawasikia vipi hapo mkuuu nashtakiwa kwa kosa La mauaji au?
 
Wanasheria si wapo humu watuambia kifungu kinachomtia hatiani mtu aliyeota ndoto na kusimulia maana mm huwa naota sana ndoto nzuri na mbaya na huwa nasimulia
 
We dada huwa una matatizo sana

Siku si nyingi utachokwa na Mumeo
 
Kosa la jinai halithibitishwi kwa hisia tu, lazima kuwe na nia ovu pamoja na kitendo chenyewe.
Hata hivyo, uduni wa fikra, utumwa wa mawazo wa wanaohusika na maandalizi ya mashitaka hupoteza muda na raslimali kwa mambo ya kupuuzwa au kutoa onyo.
Mambo ya kipuuzi yanatakiwa yapuuzwe.
 
Dunia haiishi vimbwanga na vitimbi,kila kukicha jambo jipya linatokea.eti leo hii Lema anasema ameoteshwa na mungu,hivi kwa nini wanasiasa wanapenda kulitaja jina la bwana mungu wetu bure? Yaani wanalichezea jina lake sana.najiuliza ni mungu yupi alimpa hayo maono Lema? Mungu huyu huyu tunayemwabudu wote au ni mwingine? Kwanza Lema haaminiki duniania na nadhani hata mbinguni,kwa sababu ni muongo sana,huyu Lema aliyarudia matapishi yake kwa Lowasa sasa tutaamini vipi anachotueleza leo hii?acheni utani na Mungu,kama Magufuri mmemshindwa basi tulieni.kwanza ningekuwa na uwezo ningesema endapo Magufuri ataendelea kuwepo hadi hiyo 2020 basi Lema afungwe kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumzushia kifo na kosa na uongo na kosa la kumsingizia Mungu.nyie viongozi wetu wa Ukawa kwa sasa ni wazi mmeishiwa sera za kuongea mbele yenu sisi wafuasi wenu hata mnabuni vitu vya ajabuajabu kabisa.na hiyo yote ni dhambi ya lowasa inawatafuna,na itawatafuna sana hadi mtakapoacha uongo,uzushi na unafiki
 
Kwani kuna watu wana hati miliki na Mungu, wengine hawaruhusiwi kupata access??
 
nasikia harufu ya muswerda wa ndoto za uchochezi na mil 20 each kwa wale wabunge wa chama cha mahaerage kuupitisha
 
Caption ya thread yako umeuliza vema... Ndani ya thread unauliza na kujijibu mwenyewe tena.
Which is which??
Tukusaidiaje Mkuu!!??
 
Kati ya Yupi na Yupi!?
Tutajie majina yao kisha tutakwambia aliyempa maono
 
Mafisiem wenyewe ndiyo mnalikuza na kulinenepesha hili jambo. Kama yeye amepta maono basi mngepotezea tu yasipotimia si itakuwa aibu kwake na huyo Mungu wake! Wacheni upuuzi fanyeni mambo mliyowaahidi wapiga kura na si kuhangaika na ndoto za watu huo ni utoto mnafanya.
 
Kosa la jinai halithibitishwi kwa hisia tu, lazima kuwe na nia ovu pamoja na kitendo chenyewe.
Hata hivyo, uduni wa fikra, utumwa wa mawazo wa wanaohusika na maandalizi ya mashitaka hupoteza muda na raslimali kwa mambo ya kupuuzwa au kutoa onyo.
Mambo ya kipuuzi yanatakiwa yapuuzwe.

Dawa ya moto ni moto, dawa mpuuuzi sio kumpuuuuza bali kumpa unampa tena
 
Lema dawa yake iko namna hii either kupotezwa kimazingara, au kufungwa miaka kadhaa kama kumi , basi, visiwa vyetu vya kizuizi siku hizi vimewamiss watu
 
Ngoja atupatie ushahidi wa hiyo ndoto ya kishenzi na ufilauni.
Akikuambia kaota pia na wewe ktk upambe wako utafuatia utaweza meza?.Utakufa ili ukashike mikoba na kuwa mpambe wa wafu wengine unayoihangaikia sana?
 
Wewe Lema utampendaje ili hali hapendi ujinga wenu wa kujitukuza kama miungu watu?!

Nuru (Lema) haiwezezi kuchangamana na Giza (Ccm), Lema hapendi Dhuluma, ujinga, upumbavu na wewe hiyo ndio kazi yako inayokuweka kuwa hai
 
Back
Top Bottom