Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
😀😀😀😀 Njama za kumuua Raisi kesi yake ni ya uhaini...Hataishi milele.
Atashitakiwa kwa kosa la kupanga njama za kumuua Rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀 Njama za kumuua Raisi kesi yake ni ya uhaini...Hataishi milele.
Atashitakiwa kwa kosa la kupanga njama za kumuua Rais.
Na hatakiwi kupata dhamana😀😀😀😀 Njama za kumuua Raisi kesi yake ni ya uhaini...
Huyo jamaa tatizo Shule ndogo.. Anataka kumuiga Lissu aliyeenda shule anayejua kucheza na vifungu vya sheriaLema hajui afanyalo. He is simply boring! Huwezikuwa na style ya siasa za aina hii ukategemea kupendwa na watu maskini ambao hawako sure of their next meal. Kila siku unajifanyiza madudu ili ukamatwe na uwekwe ndani na polisi.... kama unapenda sana kukaa jela basi wakufunge kabisa
Huyo jamaa tatizo Shule ndogo.. Anataka kumuiga Lissu aliyeenda shule anayejua kucheza na vifungu vya sheria
Enhanced Interrogation Techniques.😀😀Bado anahojiwa kwa Mbinu zilizoboreshwa. atasema tu nani amepanga nae njama za kumuua rais.
Njoo Ikulu kesho saa nne asubuhi onana na mnikulu, ila uwe tayari kulitumikia Taifa ENEO LOLOTEWadau heshima kwenu.
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje?
Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika,
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali Ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
Cc The Bold.Enhanced Interrogation Techniques.😀😀
Njoo Ikulu kesho saa nne asubuhi onana na mnikulu, ila uwe tayari kulitumikia Taifa ENEO LOLOTE
Tusiogope kufa, tusiogope kuombewa mabaya... Mbona watu kibao walimuota Lowasa hawakushtakiwa??? Mbona anaishi mpaka leo??
Its only GOD who knows nani atatangulia. ONLY GOD
Lakini, tusiombeane mabaya na tusifanyiane mabaya. Akupigaye kushoto mgeuzie na kulia. Kama unaomba watu wakuombee toka moyoni, basi amini Mungu atakupa ulinzi huo, usitegemee nguvu ya binadamu.
Mungu atubariki na kutujalia hekima kila siku.
Ifeke mahali watu wakiandika Rest In Hell msilie lie.Ifike wakati mtu ajutie matumizi mabaya ya mdomo wake
Mbona shekhe Yahaya alikuwa hashitakiwi Lema yuko sahihi bwana atatwaa kabla ya 2020Magufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
Mkuu, si kila wakati bwana Mungu anatwaa. Na hiyo sentensi aliitoa Ayubu akidhani bwana Mungu ndo ametwaa everything from him lakini hakujua kuwa shetan ndo alikuwa anatwaa.Sisi ni Mavumbi.
Udongoni tutarejea.
bwana alitoa,akitwaa kuna tatizo?
nani anaua watu?Mkuu, si kila wakati bwana Mungu anatwaa. Na hiyo sentensi aliitoa Ayubu akidhani bwana Mungu ndo ametwaa everything from him lakini hakujua kuwa shetan ndo alikuwa anatwaa.
Tusihalalishe uovu kwa kutumia maandiko, asante .