chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
#Tetemeko2025.
Lemma ni moja ya wanasiasa wapenda maendeleo, na anakubalika na wananchi wa itikadi zote. Hata mimi namkubali, na ninamuunga mkono.
Mara baada ya Msigwa kushindwa uenyekiti Nyasa, mara moja Lemma alitangaza kutogombea uenyekiti kanda ya kaskazini