Lema: Narudi Tanzania

Kaa huko huko ughaibuni maana uliyataka mwenyewe! Hakuna aliyekufukuza!! Ila huko uliko usishangae kuona watu wanatutazama Sana!! Huko ni mwendo wa LGBT+ kwa kwenda mbele!! Hawatatishwa na ndevu!!
 
Karibu nyumbani Kamanda Lema, ni imani yangu hotuba mahususi ya Rais mama Samia Bungeni, itaweka bayana maridhiano na umoja na ustawi wa taifa letu.Jema zaidi atakuwa na kofia mbili Rais na M.kiti CCM. Wale wazandiki wachache wao watashangilia tu upepo wa neema wa Watanzania halisia,wengi tulikuwa kifungoni kuanzia Wateuliwa, Maafisa waandamizi ,wafanyakazi, biashara,wakulima.... hivyo Lema unawakilisha kundi kubwa sana.
 
Karibu mpiganaji wetu tutakupokea kishujaa pale uwanjani.
 
Na wewe una umuhinu gani mbwa ww
Kwahiyo mnayatetea majangili kama kina Lema aliyehusika na utakatishaji fedha kwenye maduka ya bure de exchange na alikuwa anamiliki vitalu vya Tanzanite mererani pia wakwepaji kodi wakubwa Jpm kaweka ukuta mererani na wakwepaji kodi wamekomesha sasa mafisadi yanajificha kwenye mgongo wa upinzani na nyie mlio brainwaish mnayatetea
 
Mafisadi wangekuwa ni wapinzani ile mahakama ya mafisadi isingeota vumbi
 
Unafikiria wakati huu kuna ujinga wa kipindi cha Magufuli. Usimpenda kaja, na usiowapenda wanakuja. Tanzania mpya ya upendo isiyo na ukanda.
True wazeee wa escrow out, Waliobambikwa imeisha hio.Tza mpya uwazi, ukweli,haonewi mtu ila matendo yako ndio hukumu yako.
 
Rejea nyumbani Lema, hapa ndio kwenu unapotakiwa kuishi kwa amani bila kutishwa na mtu.
Rudi utumikie nchi yako.

Kuna watu hudhani hii nchi ni yao peke yao, hii nchi ni yetu sote maana tumezaliwa hapa wala hatukuomba uraia kwa kujaza makaratasi
Arudi kulipa madeni ya watu
 
Rejea nyumbani Lema, hapa ndio kwenu unapotakiwa kuishi kwa amani bila kutishwa na mtu.
Rudi utumikie nchi yako.

Kuna watu hudhani hii nchi ni yao peke yao, hii nchi ni yetu sote maana tumezaliwa hapa wala hatukuomba uraia kwa kujaza makaratasi
Arudi tu ila ajifunze kulipa kodi na madeni aliyoyakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…