Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitekenya alafu unacheka..mwenye nchi kachukua nchi yake hakuna maujinga hayo tena Ila Kama umeelewaAkitua airport tu, moja kwa moja jela
Kodi gani Lema sio mbunge wala nini afanye maridhiano na waliomkopesha madeni aliyoyakimbia hana umuhimu wowote zaidi ya kutoa lugha chafu huyo kidampaUmuhimu anao kodi zake tunazihitaji sana, aje tu.
Na wewe una umuhinu gani mbwa wwNa huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Karibu mpiganaji wetu tutakupokea kishujaa pale uwanjani.Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema anatarajia kuona uongozi wa Rais Samia ukirekebisha na kutafuta maridhiano ya taifa zima.
‘’Nataka kurudi nyumbani hata leo, nyumbani ni nyumbani tu, wakati nakimbia nyumbani nilishuhudia uzoefu mbaya mimi na familia yangu’’, alisema
Lema ameeleza kuwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala ikiwemo viongozi watakaojali haki ni sura itakayorejesha imani ya kwamba sasa maisha yako salama.
‘’Nitarudi nyumbani mapema sana kuendelea na mapambano. Uwepo wetu huku hauna maana ya kwamba tumekuja kula bata, hakuna maisha yoyote, mtu anaweza akakimbia nyumbani kwao ambako amejijenga vizuri.’’alisisitiza
Hata hivyo Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ilitupilia mbali madai hayo ya upinzani na kusema hayo ni maigizo ya upinzani.
‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.
Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo jijini Dar es salaam kuongoza awamu ya sita ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli.
Kwahiyo mnayatetea majangili kama kina Lema aliyehusika na utakatishaji fedha kwenye maduka ya bure de exchange na alikuwa anamiliki vitalu vya Tanzanite mererani pia wakwepaji kodi wakubwa Jpm kaweka ukuta mererani na wakwepaji kodi wamekomesha sasa mafisadi yanajificha kwenye mgongo wa upinzani na nyie mlio brainwaish mnayateteaNa wewe una umuhinu gani mbwa ww
Thus anarudiAsisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu!
Mafisadi wangekuwa ni wapinzani ile mahakama ya mafisadi isingeota vumbiKwahiyo mnayatetea majangili kama kina Lema aliyehusika na utakatishaji fedha kwenye maduka ya bure de exchange na alikuwa anamiliki vitalu vya Tanzanite mererani pia wakwepaji kodi wakubwa Jpm kaweka ukuta mererani na wakwepaji kodi wamekomesha sasa mafisadi yanajificha kwenye mgongo wa upinzani na nyie mlio brainwaish mnayatetea
Wasiojulikanakwani alifukuzwa na nani?
Kivipi hali mtesi wake amelalaAkitua airport tu, moja kwa moja jela
True wazeee wa escrow out, Waliobambikwa imeisha hio.Tza mpya uwazi, ukweli,haonewi mtu ila matendo yako ndio hukumu yako.Unafikiria wakati huu kuna ujinga wa kipindi cha Magufuli. Usimpenda kaja, na usiowapenda wanakuja. Tanzania mpya ya upendo isiyo na ukanda.
Sasa kidampa kama lema nani ana muda wa kufanya maridhiano nae mtu aliyekimbia madeni na kudanganya ametishiwa uhai wakeWewe una umuhimu gani?
Arudi kulipa madeni ya watuRejea nyumbani Lema, hapa ndio kwenu unapotakiwa kuishi kwa amani bila kutishwa na mtu.
Rudi utumikie nchi yako.
Kuna watu hudhani hii nchi ni yao peke yao, hii nchi ni yetu sote maana tumezaliwa hapa wala hatukuomba uraia kwa kujaza makaratasi
Nanyinyi mtakufa siku moja hamtaishi milele na tabiri zenu za bhangiYalichelewa miezi 5tu. Lema ni Nabii, Rudi nyumbani kamanda
Arudi tu ila ajifunze kulipa kodi na madeni aliyoyakimbiaRejea nyumbani Lema, hapa ndio kwenu unapotakiwa kuishi kwa amani bila kutishwa na mtu.
Rudi utumikie nchi yako.
Kuna watu hudhani hii nchi ni yao peke yao, hii nchi ni yetu sote maana tumezaliwa hapa wala hatukuomba uraia kwa kujaza makaratasi
Mbona hata Wewe utakufa tu na lema nae atakufaa msifurahie vifo vya watu tutakufa woteAmbae hana umuhim ameshaamsha bwashee, amepanda cheo anaenda kuwa kiongozi rasmi wa malaika wa waovu.