Tunamjibu kichaa anayepewa jukwaa la kutukana hadharani. Angeishi kama vichaa wengine wala tusingehangaika naye.Godbless Jonathan Lema hana dhamana yoyote katika nchi hii, Lema sio Mwenyekiti wa Kitongoji, Sio Mwenyekiti wa Mtaa, Sio Mwenyekiti wa Kijiji, Sio Diwani na wala sio Mbunge.
Inakuwaje watanzania badala ya kumpuuza wanaendelea kumjadili mtu ambaye hana dhamana yoyote mbele ya umma wa watanzania.
Ni muhimu kuwa makini na kujibu watu wasio na dhamana yoyote mbele ya umma kwani ni hatari kuingia mabishano na mtu ambaye anaweza kuamua leo akaondoka nchini akaenda kuishi uhamishoni hata miaka yote ya maisha yake.
Lema kakuzidi nini mkuu?Aliyekuzidi kakuzidi tu
Kawazidi Akili hawa walalamikajiLema kakuzidi nini mkuu?
Kama mnamuona Lema ana akili basi tuna safari ndefu.Kawazidi Akili hawa walalamikaji
Lema anaongea vitu conscious Sema huwezi kuelewa Kama haupo smart upstairsKama mnamuona Lema ana akili basi tuna safari ndefu.
Yapo anayoongea yana make sense lakini hayana Tina yoyote kwenye uchaguzi wa 2025. Nadhani angeongea mengine ya maana zaidi angeelewekaLema anaongea vitu conscious Sema huwezi kuelewa Kama haupo smart upstairs
Kama haupo smart kichwani huwezi Kupata concepts za LemaYapo anayoongea yana make sense lakini hayana Tina yoyote kwenye uchaguzi wa 2025. Nadhani angeongea mengine ya maana zaidi angeeleweka
Wanawake wanaojiuza walikukosea nini? Haipiti siku hujacomment kuhusu wao.Kama haupo smart kichwani huwezi Kupata concepts za Lema
Nchi hii vijana wengi wamegeuzwa msukule
Mpaka aibu eti bodaboda ni ajira
Nikiangalia wanawake wanavyojiuza kwa Bei sawa na bure hasa wake za watu ni Aibu Sana
Unakuta Mama na mtoto wake wote wanatombwa ili tu wapate kula Yao ya siku Aibu Sana .
Lema anajaribu kugusia Mambo muhimu eti vicoba it about fucking Life peoples are going through
Godbless Jonathan Lema hana dhamana yoyote katika nchi hii, Lema sio Mwenyekiti wa Kitongoji, Sio Mwenyekiti wa Mtaa, sio Mwenyekiti wa Kijiji, sio Diwani na wala sio Mbunge.
Inakuwaje watanzania badala ya kumpuuza wanaendelea kumjadili mtu ambaye hana dhamana yoyote mbele ya umma wa watanzania.
Ni muhimu kuwa makini na kujibu watu wasio na dhamana yoyote mbele ya umma kwani ni hatari kuingia mabishano na mtu ambaye anaweza kuamua leo akaondoka nchini akaenda kuishi uhamishoni hata miaka yote ya maisha yake.
Nabii hupimwa kwa kutimia kwa unabii wake, alimuonya jiwe aache uovu la sivyo atakufa akashupaza shingo na hatima yake wote tuliona utabiri ukitimia,alimuonya Sabaya asimtegemee mwanadamu jiwe kwani akiondoka atapata shida sana na ikawa hivyo, alimuonya Ndungai aache uonevu la sivyo jambo baya litamkuta na kweli ikawa hivyo,bado unatilia shaka unabii wa Nabii Lemma?Ufipa wanamuita nabii mbeba maono
Yaani lema amuonye jiwe?Nabii hupimwa kwa kutimia kwa unabii wake, alimuonya jiwe aache uovu la sivyo atakufa akashupaza shingo na hatima yake wote tuliona utabiri ukitimia,alimuonya Sabaya asimtegemee mwanadamu jiwe kwani akiondoka atapata shida sana na ikawa hivyo, alimuonya Ndungai aache uonevu la sivyo jambo baya litamkuta na kweli ikawa hivyo,bado unatilia shaka unabii wa Nabii Lemma?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Alimuonya live hadi akawekwa lupango miezi minne lakini hatimaye yakatimia nchi leo imeponaYaani lema amuonye jiwe?
Aisee
Wewe una nini? Lema ni Public figure, vipi wewe na fake ID zako humu nani anakujua? Lema hata akifa leo nchi nzima watajua, wewe ukifa zaidi ya ndugu zako na jamaa zako nani mwingine atajua?Godbless Jonathan Lema hana dhamana yoyote katika nchi hii, Lema sio Mwenyekiti wa Kitongoji, Sio Mwenyekiti wa Mtaa, sio Mwenyekiti wa Kijiji, sio Diwani na wala sio Mbunge.