Lema ni nani hadi watu wahangaike kumjibu?

Lema ni 'International figure' ktk ulimwengu wa siasa za Tz, ni mtu mkubwa sana na maarufu kuliko wewe na ukoo wako wote, kijijiji chako, wilaya yako na Mkoa wako!
Kumbuka pia kuwa aliwahi kutabiri kifo cha mkubwa falani na akawekwa ndani na kufunguliwa kesi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…