Lema ni noma anastahili tuzo

Lema ni noma anastahili tuzo

Wanawake wengi kutoka africa wakifika huko hubadilika,kinachowapa kiburi sheria zinawalinda pili benefit wanazopewa na serikali,tumeshaona watu wengi wanakuwa homeless kwasababu ya wanawake
Ni wachache sana siyo wote wanaoenda wanafanya hivyo.
 
Soon tutasikia"Lema agombea ukatibu mkuu wa UN"wafipa kwa uzushi mkovizuri sana.
 
Mwamba wapi anahubiri No fear halafu anatoroka nchi akiwa kavaa baibui eti naogopa usalama wangu hiyo no fear alikuwa akimhubiria nani?
dah watoto wanachezea simu ya jamaa ,namuombea radhi jamaa ni makini kaandika binti yake wa miaka 4 ,ankooo achiaa asimuuu
 
Kwani alinyimwa kusafiri? Passport alikuwa nayo ila Canada alikoenda sio nzuri kwa mke na Watoto wanaharibika sana Canada aweza kuja kurudi Tanzania bila mke

Watoto huanzwa kufunzwa mambo ya mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja wakiwa wadogo na kuporwa mke kule kitu kidogo mno
Webumunda la chattle na Canada wapi na wapi
 
Huyu mwamba ni hatarii techniques alizotumia si za kawaida ni military offensive techniques alitumia kama countersugency na hit and run.

Lema ni akili kubwa yani mbinu za medani alizoapply pale border na uhakika baadhi ya wanausalama wameshafukuzwa kazi na kuhamishwa. Siyo hizi mbinu za medani za kuibia watu korosho.
Kumbuka alisema "kuna watu wamemwambia wametumwa wakamuue" je unadhani hao watu walishindwa kufacilitate hiyo escape?
 
Kwani alinyimwa kusafiri? Passport alikuwa nayo ila Canada alikoenda sio nzuri kwa mke na Watoto wanaharibika sana Canada aweza kuja kurudi Tanzania bila mke

Watoto huanzwa kufunzwa mambo ya mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja wakiwa wadogo na kuporwa mke kule kitu kidogo mno
Hapo mstari w a mwisho, wewe jamaa ni muongo wa kiwango cha Reli ya mwendokasi.
 
Ni wachache sana siyo wote wanaoenda wanafanya hivyo.
Ni kumwomba mungu tu ya sikukute,ndoa nyingi zinavunjika tunamtakia kila la heri huko aliko,pia aitahidi sana kuwalinda watoto kuna Tabia za ajabu sana kwenye hiyo nchi
 
Sio wakubwa watoto Canada kunawafaa vijana waliomaliza vyuo vikuu sio watoto saizi ya wa Lema.Kuhusu mke kuzaliwa kijijini sio shida canada itambadilisha mark my words heri angembilia ujerumani hata ubelgiji lakini Canada hapana kubaya mno kwenda na familia muda sio mrefu ataelewa nilichoandika
Kuna mtu naye walienda na mkewe,kufika huko mke akabebwa na mxungu akaachiwa manyoya
 
Kwani alinyimwa kusafiri? Passport alikuwa nayo ila Canada alikoenda sio nzuri kwa mke na Watoto wanaharibika sana Canada aweza kuja kurudi Tanzania bila mke

Watoto huanzwa kufunzwa mambo ya mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja wakiwa wadogo na kuporwa mke kule kitu kidogo mno
We phaller unawaza ngono tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Mwamba wapi anahubiri No fear halafu anatoroka nchi akiwa kavaa baibui eti naogopa usalama wangu hiyo no fear alikuwa akimhubiria nani?
 
Ni kumwomba mungu tu ya sikukute,ndoa nyingi zinavunjika tunamtakia kila la heri huko aliko,pia aitahidi sana kuwalinda watoto kuna Tabia za ajabu sana kwenye hiyo nchi
Canada kuna tabia gani mbaya mkuu..me naona pako powa sana kuhusu maadili hata Saudia Arabia japo ni nchi ya dini kuna mambo ya ajabu ajabu..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Lema the National treasure welcome back
 
Back
Top Bottom