Lema: Nikitaka kumuona Mbowe hakuna mpumbavu yeyote namuomba ruhusa

Nje ya hizi siasa, Lema na Mbowe ni watoto wa mjini wanaojua a,b,c za mambo mengi kuliko wanaharakati wengi ndio maana kuna mahala wanajaribu kuwa na kautulivu na kuyaendea mambo kiutaratibu.

Kauli hii ya Lema inaashiria kuna mtu/watu wanaojaribu kukifanya kila kitu ni siasa
Pamoja na siasa zenu na huu uanaharakati lazima tutambue ipo dola na vyombo vinavyowajibika kulinda usalama wetu, mipaka yetu na Uhuru wetu dhidi ya maadui wengine nje yetu sisi....TULITAMBUE SANA HILI NA KULINDA KUANGALIA MIPAKA YETU KWENYE HIZI SIASA.

Dunia haiendeshwi na hizi siasa tunazoziona kwa macho ya kawaida bali huendeshwa na mambo mengi yasiyoonekana.

Bahati mbaya sana wanaharakati wengi wa Tanzania akiwemo TL ni watu ambao wanaishi kinadharia kwa kuamini nadharia za shule ambazo kimsingi sio zinazoendesha mambo mengi kwenye hii dunia.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
 
Maana yake akitaka kumuona Mbowe hawezi kumuomba ruhusa mpumbavu Lissu au mpumbavu Heche. Siasa tamu.
 
 
Kweli huyu mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…