Na sio mwanamke wa kumwamini. Na mimi kwa jinsi ambavyo nimejua sasa hivi kuhusu siasa..."
"...hata nikiona mtu wa CCM amesemwa jambo baya, naanza kuamini asilimia mia moja, alafu ndio nafanya utafiti. Nimekuja kugundua hata sisi tumeumiza sana watu kwa taarifa za uongo na tumeshea sana, yaani tumekuwa sadist."
"Tumeumiza sana watu kwa taarifa za uongo, hata CCM kuna ambayo tunaiumiza kwa taarifa za uongo. Hebu niambie kwa mfano hii tu ya ya ya ya ya Luta inayosema hii..."
"Wanasema kwamba huyo mimi ndio mimi ni Lema. Chama kinamjua, nimesema chama kinamjua kwa sababu hawa watu waliongea na Chama, wakashindwa na Chama."
"Kama ni mimi, Chama kinifukuze kesho. Alafu mjinga mbavu anasikilizwa. Anaharibu, amefanya character assassination ya watu wengi sana nchini."
"Kuizalisha watu... Ah, kuna families zinaumia nchi kwa ajili ya huyu mwanamke. Saba wameenda deep kwenye life za watu wa kawaida. Kuna families zimeumia na hatalipa kwa ajili ya Mungu."
"Na kuna familia hazina platform kwa sababu sio viongozi wa Chama, kwa hiyo hawawezi kuitafutia vyombo vya habari kujitetea, kwa hiyo familia zinaishi ndani, zinaumia ndani."
"Familia zinaumia ndani, kwa hiyo wengine wanaishia kwenye magoti. Mimi huwasigusi kwa kuonewa, wale wote kwa kumalizia, wale wote wanaoshiriki kazi hii, wanaofanya kazi hii, mtamwona Mungu."
"Na ni wito wangu kwa viongozi wa Chama. Wale viongozi wa Chama wanaoishabikia na kuchafua viongozi na kuzalisha viongozi, mifumo ya Chama ichukue wajibu wake katika kwenda kuhakikisha kwamba Chama hichi kinakuwa na nidhamu."
"Wale viongozi wa Chama wanaoshabikia na kuchafua viongozi na kuzalisha viongozi mifumo ya Chama ichukue wajibu wake katika kwenda kuhakikisha kwamba Chama hichi kinakuwa na nidhamu."