Lema: Nimegundua CHADEMA tumewaumiza sana CCM kwa taarifa za uongo

Lema: Nimegundua CHADEMA tumewaumiza sana CCM kwa taarifa za uongo

Mange ndo kiongozi mkuu wa CHADEMA kwa sasa. Kama huamini soma comments zinazompinga Lema ikiwemo yako binafsi.
Acha kuandika ujinga. Kiongozi mkuu wa Chama anajulikana ni nani. Mange ni mwanaharakati wa upinzani sio CHADEMA pekee, sema kwa sababu CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani watu wanalazimisha sentiment za mange ziwe za CHADEMA
 
Mange ndo kiongozi mkuu wa CHADEMA kwa sasa. Kama huamini soma comments zinazompinga Lema ikiwemo yako binafsi.
Lema kwasasa ni mchumia tumbo,hafai kuwa mwanasiasa ata CCM inajua hilo asijaribu kwendako atakosa Radha kama msigwa Mch ambaye walimugundua kwa unafiki wake wakamuweka kando
 
Rubbish!! Mlivyoanza kumpinga Magufuli tu mkishirikiana na huyo Mange na mpumbavu mmoja anajiita kigogo nikawaona hamna maana Kwa taifa.Sasa mmegeukana sisi tunawaangalia tu
 
Acha kuandika ujinga. Kiongozi mkuu wa Chama anajulikana ni nani. Mange ni mwanaharakati wa upinzani sio CHADEMA pekee, sema kwa sababu CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani watu wanalazimisha sentiment za mange ziwe za CHADEMA
Mange ndo kiongozi mkuu. Angekuwa sio msingemshambulia Lema na kumwona Mange yuko sahihi. Penda usipende CHADEMA iko chini ya Mange na Maria kwa sasa. Lissu na Heche ni vivuli.
 
Back
Top Bottom