technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Napenda kuona CHADEMA inaimarika sipendi CCM iimarike
Yaani, wananikumbusha wakati naishi Tandale kwa Tumbo, Mwenyekiti wa Mtaa Mwajuma Ndala ndefu, ni vijembe na kusutana tuChadema mnatutisha Sana
Mnapigana sana vijembe
Yote haya ni kwa sababu Tu Lisu kaonesha nia ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa CDM?