Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
🤣 bingwa UCL au sio!Arsenal 😂
Siasa sio sababu ya kutokufurahia vitu vingine, lema amezingua asipangie watu nini cha kufanya.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
View attachment 3307480
We Joni unawalemaza watanzania kwa simba na Yanga.Arsenal 😂
Hauwezi ukashabikia mpira halafu ukawa na akili timamu.Siasa sio sababu ya kutokufurahia vitu vingine, lema amezingua asipangie watu nini cha kufanya.
Jamaa ni siasa kali sana, suala watu kusapoti mabadiliko wanaweza kusapoti na huku wanashabikia mipira.
Lema aache siasa za kijuha
Kila mmoja ana tafsiri yake ya utimamu wa akili mkuu.Hauwezi ukashabikia mpira halafu ukawa na akili timamu.
Mimi ni CCM akili haina itikadi Godbless yuko sahihiMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
View attachment 3307480
Kila siku mnasema watanzania wote wanafurahia na kutekeleza NR NE, Sasa watanzania gani ambao hawafuatilii Mambo ya chadema?Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
View attachment 3307480
Lema sasa anaingilia vitu vya watu ,sasa unavyosema mpira ufutwe je ajira hizo zilizotokana na mpira zitasaidiwa na Chadema? Kuna wengin nao siasa hawazipendi wanaomba vyama vyote vifutiliwe mbali.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
View attachment 3307480
Kila sehemu hapa inchin watu wanajadili Simba na yangq kama mazuzu huku wanasiasa wakifilisi inchi refer CAG reportHuyu siasa zimemshinda
Siku akiwq raisi hajui kuwa atatakiwa kuimarisha sekta ya michezo yeye anawaza kuhomoa
Kama ccm wamemzidi akili na power akazitafute sio kuwa mjinga kiasi hiki