Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko.
Pia, Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, ambako pia ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na kumwambia Mbowe japokuwa ni rafiki yake, wakati huu apumzike na kumuachia Lissu.