Pre GE2025 Lema: Sitagombania ubunge Arusha mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Attachments

  • IMG_20250114_142540.jpg
    IMG_20250114_142540.jpg
    173.8 KB · Views: 3
  • IMG_20250114_142540.jpg
    IMG_20250114_142540.jpg
    173.8 KB · Views: 2
Wakuu,

Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko.

Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, ambako pia ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na kumwambia Mbowe japokuwa ni rafiki yake, wakati huu apumzike na kumuachia Lissu.
Godbless Lema,anajitambua!。
Baada ya Mama kuwapelekea moto Arusha,mtu yeyote anayejitambua hawezi kucheza na Moto!。
Gambo naye ajiangalie na kujitathmini!。
P
 
huo ni unyumbu wa kiwango cha juu sana makonda jitihada za kupinga ushoga ndiyo ziliwafanya wamarekani wamzuie kwenda kwao kisa wao wanaunga mkono hayo mambo muuaji kamuua nani acheni upumbavu
Mbona hakubisha wamarekani walivyosema yy amekua akidhulum watu uhai ? Yy hakukataa mahali popote na hajawai kukataa na hatakaa aje kukataa kua hajawai kudhulum uhai wa mtu!!
 
Pumzika, wapo wana CDM kibao majasiri na wasomi watajaza nafasi... we nenda canada ukapumzike.
 
Lema kihistoria hana uadilifu, alikuwa mwizi wa magari; aliingia siasa kwa maslahi binafsi akakopa mamilioni benki ambayo sina hakika kama amelipa yote. Siasa imemuwezesha yeye, mkewe na watoto kupata maisha yenye posho nono huko Canada huku wanawe wakipata elimu nzuri; siasa kwake ni kazi sio matatizo kama anavyodanganya na ni mtu wa kupima upepo kipi kizuri zaidi kwa wakati husika na kukichangamkia

Ngonjera zote kuhusu CHADEMA ni katika kutafuta maslahi si kutetea watu.

Usishangae mkija kusikia familia yake imepewa uraia wa Canada.
Hakuna cha kushangaza ukishapewa Assylum Canada ni miaka mitatu mpaka mitano unapata Uraia.

Huyo madeni yake kuna yaliyodhaminiwa na bunge halipi mdhamini ni bunge, ndio maana ubunge ni dili Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Wakuu,

Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko.

Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, ambako pia ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na kumwambia Mbowe japokuwa ni rafiki yake, wakati huu apumzike na kumuachia Lissu.
Ushauri kutoka kwa Neema Lema
 
huo ni unyumbu wa kiwango cha juu sana makonda jitihada za kupinga ushoga ndiyo ziliwafanya wamarekani wamzuie kwenda kwao kisa wao wanaunga mkono hayo mambo muuaji kamuua nani acheni upumbavu
Usiwe punguani kiasi hicho.

Makonda alizuiwa kuingia Marekani kwa sababu ni muuaji, siyo kwa sababu ya masuala ya ushoga. Museveni hapo Uganda ameweka sheria kali dhidi ya mashoga, lakini hajawahi kuzuowa kuingia USA. Kule kule USA, kuna majimbo hayataki ushoga.

Hizi elimu zenu za kuungaunga zinawafanya kuonekana majuha mnapoleta tafsiri potofu na za uwongo wa wazi..

Nenda kaangalie kamusi ya Kiingereza uelewe maana ya denying someone right to life.

Angalia hii sentensi fupi kutoka tamko la Umoja wa Mataifa:

What is meant by the right to life?

This means that nobody, including the Government, can try to end your life.

USA walitamka wazi kuwa hawamruhusu Makonda kukanyaga ardhi ya USA kwa sababu mtu huyo, had been involved in denying people right to life. Maana yake amekuwa akikatisha uhai wa watu.

Huyu ni muuaji, Serikali haikupinga, wala yeye hakupinga, na ilikuwa inathibitisha tuhuma mbalimbali dhidi yake za kuhusika na mauaji.

He is a criminal. He is a muderer.

Ya nani inasoma hivyo...

Kwenda kulamba wanaume matk ili wakulelee watoto na mke nayo ni heshima?
Wewe ni kichaa punguani.

Lema kwa sasa haishi kama mkimbizi. Ameajiriwa, na ni mwakilishi kwa kanda nzima ya Afrika, anaingiza mshahara mzuri kuliko wewe chawa punguani.
 
Ukiona watu JF unawaona kama mafala sio🤣,
Lema ana elimu gani ya kunizidi Kipato?

Tulia mzee, mwambie arudi utumwani akaendelee kuish kwa Dola Miatano za ration.
 
huo ni unyumbu wa kiwango cha juu sana makonda jitihada za kupinga ushoga ndiyo ziliwafanya wamarekani wamzuie kwenda kwao kisa wao wanaunga mkono hayo mambo muuaji kamuua nani acheni upumbavu
Halafu wale jamaa wakawa wajanja sana,
Wakatumia lugha inayochanganya watu Ili wasigundulike!!!

USA inajua watanzania hawapendi jambo la ushoga
 
Lema mwakilishi wa kanda ya Afrika?Anawakilisha kampuni ipi au taasisi ipi?Ameajiriwa na nani?
 
Wakuu,

Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko.

Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, ambako pia ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na kumwambia Mbowe japokuwa ni rafiki yake, wakati huu apumzike na kumuachia Lissu.
Ndio anajipanga na majukumu mapya ya ukatibu mkuu wa chama chin ya mwenyekiti lissu
 
huo ni unyumbu wa kiwango cha juu sana makonda jitihada za kupinga ushoga ndiyo ziliwafanya wamarekani wamzuie kwenda kwao kisa wao wanaunga mkono hayo mambo muuaji kamuua nani acheni upumbavu
Wale askari na bunduki alioenda na clouds aliwapata wapi? Anaongoza kikosi gani? Kama alifanya jitihada za kupinga ushoga mbona serikali ilimkana? Alipinga kama nani na alikuwa na impact gani?

Yeye mwenyewe shoga watoto anapandikiza China
 
lema keshalubuniwa na anajua arusha mjini mtanange utakua wa gambo na makonda. hanajipya huyu.
Jifunze kuandika na kutumia vizuri nukta na capital leters mwanzo wa sentenso usionekana kilaza.
Mtanange wa Gambo na Makonda wote chama kimoja watagombeaje ubunge wa jimbo moja
 
Kuna mjumbe alisema ukimbizi wa kisiasa amepewa masharti ya kutokufanya active politics pmj na kugombea nafasi za kisiasa.
 
Back
Top Bottom