Pre GE2025 Lema: Sitagombania ubunge Arusha mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko.

Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, ambako pia ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na kumwambia Mbowe japokuwa ni rafiki yake, wakati huu apumzike na kumuachia Lissu.
 
Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Wakuu,

Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko.

Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, ambako pia ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na kumwambia Mbowe japokuwa ni rafiki yake, wakati huu apumzike na kumuachia Lissu.
 
lema keshalubuniwa na anajua arusha mjini mtanange utakua wa gambo na makonda. hanajipya huyu.
 
Anaridhika na hela ya Meals allowance to political asylum...

Mmachame mmoja old school sana
Lema kihistoria hana uadilifu, alikuwa mwizi wa magari; aliingia siasa kwa maslahi binafsi akakopa mamilioni benki ambayo sina hakika kama amelipa yote. Siasa imemuwezesha yeye, mkewe na watoto kupata maisha yenye posho nono huko Canada huku wanawe wakipata elimu nzuri; siasa kwake ni kazi sio matatizo kama anavyodanganya na ni mtu wa kupima upepo kipi kizuri zaidi kwa wakati husika na kukichangamkia

Ngonjera zote kuhusu CHADEMA ni katika kutafuta maslahi si kutetea watu.

Usishangae mkija kusikia familia yake imepewa uraia wa Canada.
 
Pakiwa na Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya, atagombea.

Msilewe vibaya.
 
Anaridhika na hela ya Meals allowance to political asylum...

Mmachame mmoja old school sana
Old school Yes, lakini familia yake hawasomi shule haina matundu ya vyoo au kukaa kwenye matofali ya tope na magogo.
 
Ya nani inasoma hivyo...

Kwenda kulamba wanaume matk ili wakulelee watoto na mke nayo ni heshima?
 
Wakuu,

Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko.

Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, ambako pia ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na kumwambia Mbowe japokuwa ni rafiki yake, wakati huu apumzike na kumuachia Lissu.
Sasa hivi huna umaarufu wa kugombea Arusha
 
Ivi uku jf mnakuwaga mnatoa maoni baada ya kuskiliza mtu ,?au mnatoa maoni kabla ya kusikiliza mtu?
 
Ya nani inasoma hivyo...

Kwenda kulamba wanaume matk ili wakulelee watoto na mke nayo ni heshima?
Unataka picha za shule zisizo na vyoo na bila madawati ???? Pili. Bora uhai Canada ukimbizini kuliko vifo vya kutekana Tanzania na kesi zisizoisha.
 
Au sio...

Utumwani patamu sana au sio Masta
 
Asante sana kamanda Lema kwa kuweka sawa hili jambo ili kuwaonyesha machawa wa CCM kwamba wewe huishi kwa misingi ya kichawa.
 
Back
Top Bottom