ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Nimefurahishwa na kwamba uchawa uko Chadomo ambako kumejaa manyumbu wanatumikishwa.Kweli lumumba mmejaa misukule ya Jambiani kibao.
Sasa hapo umefurahishwa Na kitu gani haswaa?
Huyo jamaa ni kisonono wa lumumbaNimefurahishwa na kwamba uchawa uko Chadomo ambako kumejaa manyumbu wanatumikishwa.
Na Bado mtasononoka sanaHuyo jamaa ni kisonono wa lumumba
Gentleman,Kweli lumumba mmejaa misukule ya Jambiani kibao.
Sasa hapo umefurahishwa Na kitu gani haswaa?
Naomba nifundishe maana ya kufurahi kwanzaGentleman,
kwani mtoa hoja ameonyesha wapi kwamba amefurahishwa na taarifa hiyo?
au wewe ndie unataka mtoa hoja afurahi?
Yule dada wa Njombe anaitwa Mligo ambae alihamia Chauma alitofautiana na Heche akaishia kuumizwa na kufukuzwa eti ni mwanaCCM.Kachelewa sana kujua na Wala sio kwamba umehamia ila ulikuwepo kuanzia 2010 kuja juu chadema walivaa ka vazi flani ka udikiteta ila usingekaona Moja kwa moja
Lumumba ndiyo mmekuwa mateja wa CDM kwa kukesha mkitafuta visababu mshenzi ili mradi mlete taharuki kwa wana cdmNa Bado mtasononoka sana
Na Bado mtagawana sana mbao.Kwa chama kinachieneshwa na Wanaharakati wa Mabeberu kina Mange sitoshangaa watu wenye msimamo wa wastani kama kina Mnyika wakazinguana.Lumumba ndiyo mmekuwa mateja wa CDM kwa kukesha mkitafuta visababu mshenzi ili mradi mlete taharuki kwa wana cdm
Kila dk cdm huku mnasema kishakufa.View attachment 3627439
My Take
Tutaelewana tuu, tena Bora CCM huko Chadomo kumejaa wapumbavu ambao wanawaona kina Heche na Lisu ni miungu watu ambao Kila wanachoambiwa wao ni ndio Mzee kama manyumbu.
Ni hivi zile zama za zidumi fikra sahihi za Mwalimu ndio ziko huko Chadomo Kwa sasa,na Bado wajinga watakuwa na kutumikishwa sana huko.
Sisi watanzania tuko na yeyote anayesimama kupinga dhuluma heche go go gooo lema nenda CCM ukapewe uwaziri kama PatrobasView attachment 3627439