Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Wapi aliposema umehamia chadema?Nimefurahishwa na kwamba uchawa uko Chadomo ambako kumejaa manyumbu wanatumikishwa.
Wapi aliposema umehamia chadema?Nimefurahishwa na kwamba uchawa uko Chadomo ambako kumejaa manyumbu wanatumikishwa.
Hapapo 😂😂Wapi aliposema umehamia chadema?
Hauoni aibu ? Muda mwingine uwe unatumia akili hivi hata mtoto mdogo anajua kabisa Lissu ndie kaweka ngumu na sio hecheHeche hataki maridhiano, sababu maridhiano yatamtoa lissu selo, na lissu akitoka hofu ya Heche ipo kwenye mgao wa hela za tone tone je atafaidikaje? Kwa kweli wanachadema kindakindaki tumepoteza imani na heche, atupishe tu tupate makamu Mwenyekiti mpya!
Hakuna anaesononeka tatizo lenu ninyi munadhani kila asieipenda ccm ni chademaNa Bado mtasononoka sana
📌Hayo maneno kwenye kichwa cha habari siyaoni kwenye hiyo tweet ya lema, usijekuwa umeongeza chumvi kwa malengo yako binafsi.
Anyway kama ni maneno yake; Ukweli ni upi? Aliusemea wapi?
Japo kusema ni haki yake, lakini mbona kila siku anasemea mitandaoni!
Kuwa kiongozi mwandamizi anatakiwa awe makini na maneno yake, awe na kifua cha kustahimili mambo sio hivi anavyofanya.
Simaanishi Lema afiche maovu ya Chadema, namaanisha ayasemee kwenye maeneo rasmi, kusema kila akijiskia mitandaoni ni kuleta vurugu zisizo na ulazima.
Nimewahi kukubana kuwa upo CCM ukasema haupo chama chochote. Lakini naona na wewe unaonekana kukerwa sana na Chadema. Chadema wanaishi kwa Tone Tone. Hata hizo zinawauma, Nia yenu kubwa CDM ife. Sasa kweli hiyo ni DemokrasiaNimefurahishwa na kwamba uchawa uko Chadomo ambako kumejaa manyumbu wanatumikishwa.
Maridhiano yanafanywa na wawakilishi walio huru nje ya selo, ili lissu atoke ni lazima waliopo nje wazungumze mezani ili Maridhiano yapatikane, sasa babu yenu heche hataki!!Hauoni aibu ? Muda mwingine uwe unatumia akili hivi hata mtoto mdogo anajua kabisa Lissu ndie kaweka ngumu na sio heche
Uelewa wako wa mambo ni mdogo ila sikulaumu wewe nazilaumu shule za kata....kinachomuweka lissu ndani hadi leo ni msimamo wake tu hata muda huu ninaokuambia akilegeza tu jioni anaachiwa...jifunzeni kutumia akili munaishusha hadhi ya jamii forumMaridhiano yanafanywa na wawakilishi walio huru nje ya selo, ili lissu atoke ni lazima waliopo nje wazungumze mezani ili Maridhiano yapatikane, sasa babu yenu heche hataki!!
Wewe haya mambo yamekuzidi uwezo nenda kaendeleee kuisifia dodomaHapapo 😂😂
Hizi ni kauli zenye muendelezo mno sijaanza kuzisikia leo ila chakushangaza ccm wamezuia mikutano kwa hofu ya haohao waliopoteana....halafu nchimbi munamsifia kupitilizaKwenye post kama hii ya Lema, hapo majuzi niliwahi kusema Chadema ni kama walikuwa wanapoteza ushawishi, nikiwa na maanisha kuwa na msimamo wa kichama bila kuyumbishwa na wanahakati wa nje ya chama, ila nikapopolewa sana.
Lakini niliangalia jinsi gani viongozi wa Chadema wanaanza kugongana kimsimamo, ikiwamo post ya Lema kupinga/kukataa taarifa rasmi ya Chama kuhusu kauli ya Mwenyekiti iliyoletwa na wakili wake ambae alitukanwa kweli na kuonekana amejituma.
Yote ni baada ya wanaharakati wa nje ya chama kuanza kuikataa.
Narudia tena, ni kweli Chadema kwasasa kina uungwaji mkono mkubwa sana ila ushawishi wake kisera umepungua sana. Kiasi kwamba misimamo mingi ya nje ya chama inaweza kuwa affect ndani kwa ukubwa sana.
Wasipo rekebisha mapema basi kuna mpasuko mkubwa sana unakuja hasa, CCM wakifanya U turn, ambayo inaonekana wazi, kucheza karata ya kuonesha kupinga ccm mtandao, kama kina Polepole na Gwajima. Sasa naona Nchimbi anataka kuhadaa watu kwa namna hiyo.
Aisee tukisema ccccm ni mashetani watu wanabisha...lengo lao ni kutengeneza mgogoro kwenye chadema ila wasichokijua ni kwamba chadema ni wachache mno kati ya wananchi mamilion ambao tu hawaitaki cccmPost ya Lema kwenye mtandao wa X nii hii:
Kama kuna utamaduni hatari uliokita mizizi Tanzania leo, basi ni uchawa. Ni janga kubwa kuliko saratani kwa ustawi wa taifa. Unaua ukweli, unahalalisha uongo, unazika uwajibikaji, na kuwafanya wanaosema kweli waonekane maadui. Hakuna taifa linaloweza kujengwa kwa sifa za kupangwa na kuabudiwa kwa viongozi. Taifa hujengwa na ukweli, uwajibikaji, na ujasiri wa kukosoa pale panapokuwa na makosa. Uchawa si uzalendo; ni adui wa maendeleo na kikwazo cha haki.
Na hilo tatizo limeota mizizi ccm... JKN, BWM, Sitta, JPM, Ndugai, Jenista, Lukuvi, Tulia, et al wote "walishughulikiwa" na wengine kuuawa kabisa waliposimamia ukweli na kukataa kuwa machawa.Yule dada wa Njombe anaitwa Mligo ambae alihamia Chauma alitofautiana na Heche akaishia kuumizwa na kufukuzwa eti ni mwanaCCM.
Shida ya hayo mavyama yanahusudu watu badala ya taasisi matokeo yake ndio hayo mnayaona huko Senegal.
Msalimie Mbowe, Mwambie Chadema inaendeleaChadema ya mbowe tutaimiss sana, Chadema ya lissu imejaza matapeli tupu ya kisiasa!
We ni msukule wa heche huna unalolifahamu!!Uelewa wako wa mambo ni mdogo ila sikulaumu wewe nazilaumu shule za kata....kinachomuweka lissu ndani hadi leo ni msimamo wake tu hata muda huu ninaokuambia akilegeza tu jioni anaachiwa...jifunzeni kutumia akili munaishusha hadhi ya jamii forum
Inaendeleaje? Yaani kutoka wabunge 70 hadi wabunge sifuri ndo maendeleo?Msalimie Mbowe, Mwambie Chadema inaendelea
Mimi sio mfuasi wa yeyote yule ila ni mmojawapo wa muumini wa utawala boraWe ni msukule wa heche huna unalolifahamu!!