Lema: Uchawa unafanya wanaosema ukweli waonekane maadui

Status
Not open for further replies.
Hizi ni kauli zenye muendelezo mno sijaanza kuzisikia leo ila chakushangaza ccm wamezuia mikutano kwa hofu ya haohao waliopoteana....halafu nchimbi munamsifia kupitiliza
1. Simsifii wala simuungi mkono, ila naona anapewa hype kama unavyosema wakati ni wazi hatuwezi kumtofautisha na CCM wenzake.

2. Kama unaona CHADEMA, wako sawasawa kabisa ndani ya cmaha (nje ya figisu za serikali), basi uangalie vizuri zaidi.
 
1. Simsifii wala simuungi mkono, ila naona anapewa hype kama unavyosema wakati ni wazi hatuwezi kumtofautisha na CCM wenzake.

2. Kama unaona CHADEMA, wako sawasawa kabisa ndani ya cmaha (nje ya figisu za serikali), basi uangalie vizuri zaidi.
Mimi kwa mtazamo wangu walio nje ya chadema ndio wanaleta hizo taharuki kwa kuwatumia hao mamluki waliopo ndani ya chama
 
Acha kulisha watu uongo we punguani, hakuna mahali alipoitaja CHADEMA.
 
Watanzania wote
Katika kipindi chadema imeimalika basi ni sasa kuliko wakati wowote unaojuwa wewe nyakati zingine zote chadema ilikuwa inatumika kama vyama vingine vya upinzani na nyie mnawachukia viongozi waliopo madarakani leo kwa sababu masilahi yenyu yamebanwa mnahangaika kuwachafuwa viongozi waliopo sasa mmeferi
 
Ukiona habari ya chawa, nenda kajiridhishe kwenye vyanzo husika.

Lema hajasema CHADEMA kuna machawa.

 
Ukurasa wa X wa lema hakuna hiyo habari unaona watu wa jamii foramu wehu
 

Ona huyu mwendawazimu Choicevariabke alivyokosa hata ile akili ndogo kabisa!

Lema hakuiongelea CHADEMA, aliiongelea Serikali bandia ya CCM.

Jitu likikosa akili linaamini na wengine hawana akili kama yeye.

Hakuna mahali popote Lema ameongelea kuwa kuna uchawa ndani ya CHADEMA! Ameongelea uchawa ndani ya serikali bandia ya CCM unavyoliangamiza Taifa.
 
Post iko so clear,
Hayo ya CHADEMA na CCM mleta mada kayatoa wapi!
 
Ukiona habari ya chawa, nenda kajiridhishe kwenye vyanzo husika.

Lema hajasema CHADEMA kuna machawa.

View attachment 3627520

Yaani kuna machawa punguani kabisa! Kama hilo Choicevariable, akili lililobakia nazo labda za kuendea msalani tu. Anaongea uwongo, halafu anaweka na ambatanisho linalodhihirisha kuwa ni mwongo. Majitu kama haya, kuna wakati ni aheri hata kuya-ignore, maana yanatupotezea muda. Tunatakiwa kubakiwa na watu wenye akili timamu, hata kama anakukosoa, anakukosoa kwa hoja, siyo jitu linatengeneza uwongo wake, halafu linaleta JF kama ni habari!!
 
Viongozi wa Jamii Forum.
Tunawaomba sana Kwa Heshina ya hili jukwaa kubwa Africa.
The Home Of Great thinkers.

Tusiruhusu habari za Kijinga na Kipumbaavu kiasi hiki.
Hakuna Hiyo tweet kwenye Account ya lema.

Tukiruhusu Huu uzishi Jamii Forum tutapoteza Hesgima kabisa.
Hii ni saratani Haifai kabisa.
 
CDM imewashika sehemu nyeti na haita waachia salama hadi mkubali kutupatia haki zetu za misingi.
Chadema ya sasa hivi ni dhaifu kuliko Chadema zote za nyuma. Ya sasa inabebwa na Historia ya Chadema ya nyuma na keyboard warriors!
 
Acha kuokoteza habari za kishamba halafu unatuletea humu!Mwambie Samia akupe chumvi tene
 
MODs do the needful.

Choicevariable aadhibiwe kwa mujibu wa kanuni kwa yeyote anayeleta taarifa za uwongo kwa kukusudia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…