Huo wimbo wa keyboard warrior's haukuanza leo.Chadema ya sasa hivi ni dhaifu kuliko Chadema zote za nyuma. Ya sasa inabebwa na Historia ya Chadema ya nyuma na keyboard warriors!
Hata wimbo wa "Chadema imeishika pabaya CCM" ulianza enzi za Mzee Che Nkapa. Ila mpaka sasa CCM ina Marais watu baada yake!Huo wimbo wa keyboard warrior's haukuanza leo.
ulianza tangu cdm inaanzishwa hivyo huu wimbo tushauchoka.
Kwahiyo ccm ya sasa Ina tofauti gani na Ile ya miaka ya nyuma?
Kumbe una onekana upo vizuri kwenye Historia.Hata wimbo wa "Chadema imeishika pabaya CCM" ulianza enzi za Mzee Che Nkapa. Ila mpaka sasa CCM ina Marais watu baada yake!
KAFARA zimetolewa kabla ya Yesu Kristu kuzaliwa seuse leo? Unafikiri Socrates alikunywa sumu ya Hemlock kwa bahati mbaya!?Kumbe una onekana upo vizuri kwenye Historia.
Niambie wakati wa Mkapa watanzania wangapi walitolewa kafara?
CCM hii Tulip nayo imetoka kafara watu wangapi?
Ukishanijibu hayo uniambie Na sabbau za kufanya hivyo.
Asante sana kwa kututhibitishia kuwa mliua watanzania ili kutoa kafaraKAFARA zimetolewa kabla ya Yesu Kristu kuzaliwa seuse leo? Unafikiri Socrates alikunywa sumu ya Hemlock kwa bahati mbaya!?
KAFARA au watu kupotea wanapotea DUNIA mzima. Hata Norway
Na Dunia nzima KAFARA HAZITAISHA. Unamjua Olof Palme aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sweden? Alitolewa KAFARA na nchi ikasonga mbeleee!!!Asante sana kwa kututhibitishia kuwa mliua watanzania ili kutoa kafara
Cdm hawataki maridhiano ya hadaa, bali wanataka sheria zifuatwe. Lisu yuko Magereza kwa tuhuma za kutunga, kesi iendelee anyongwe ama aachiwe maana ushahidi hadi sasa hakuna. Maridhiano ya kazi gani? Kama Heche anafaidika na uwepo w Lisu gerezani, basi Lisu aachiwe maana serekali imemshindwa ili Heche aingie hasara ya hiyo tone tone.Maridhiano yanafanywa na wawakilishi walio huru nje ya selo, ili lissu atoke ni lazima waliopo nje wazungumze mezani ili Maridhiano yapatikane, sasa babu yenu heche hataki!!
Upo timamu kweli? Hoja za chadema zilikuwa wazi kuhusu kushiriki uchaguzi je mbona vcccccm hawakukubali? Hata angekuwa nani asingekubali kwasababu mfano ulishaonekana kwenye uchafuzi wa serikali za mitaaSababu chadema ya lissu ilijipima na kujitathimini ikaona kuliko aibu kamili bora nusu aibu wakaweka mpira kwapani!!
Nawewe umetolewa meno tayari una ushahidi gani kuwa zimeliwa? Unamjua Abdul Samia?Mimi wamenishangaza mno yaani mtu anapiga halafu wao wanasema watamwongezea nyingine azile.
Wanafikiri kufuga uhalifu ni sifa.
Hayo mawazo ni mwanachamaa wa ccm pekee anaweza kuwaza hivyo .a.k.a kula kwa urefu wa kamba na kuchora grafu za kupanda!Heche hataki maridhiano, sababu maridhiano yatamtoa lissu selo, na lissu akitoka hofu ya Heche ipo kwenye mgao wa hela za tone tone je atafaidikaje? Kwa kweli wanachadema kindakindaki tumepoteza imani na heche, atupishe tu tupate makamu Mwenyekiti mpya!