Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muoneeni mwenzako huruma tu. Kule atapata kazi gani? mara nyingi wengi wanaishia kuwa madereva tax au kubeba boksi. Yeye hajasoma kule, ni mbine sana huko.Hivi lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato huko Canada?
Hawa wapuuzi si ndio wanaombaga wahisani wainyime tz misaada huko walipo? Wanadhani pesa ya mzunguko huku tz inatoka wapi? Akili za panzi hiziWanaukumbi.
Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.
Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.
View attachment 1873410
Dunia ni lazima ijue maana ya mapambano ni nini hata kama patakuwepo na wanaoendesha vibaraka kuzuia harakati za wananchi.Kama mageuzi yataletwa na watanzania wenyewe, lengo la kuzunguka duniani ni lipi sasa? Nasikia bawacha wamemshtaki Samia kwa balozi wa marekani.
Duh!
Acha porojo, changia!Kwan wakishindwa kukijenga chama au kikifa c ndo vzr kwenu CDM ikifa au?
Ulaya maisha bila kazi ni magumu kuliko Tanzania. Mchangieni aweze kununua japo mkate.Lema yupo sawa. mageuzi yana gharama na gharama zenyewe ndiyo hizi. Mimi nipo tiyari kuchangia hizi harakati
Hakika 👊Ulaya maisha bila kazi ni magumu kuliko Tanzania. Mchangieni aweze kununua japo mkate.
Sakosi hiyo..Yaani hawa jamaa kama WATOTO WADOGO! Wao ni PESA KWANZA mengine baadae 😂😂
Acha wanachadema tuchange, wewe mataga hii haikuhusu.Pesa ya wazungu haiwatoshi bado tu wanataka wale ya mtanzania? Wafanye vibarua huko, vinginevyo watapasuka malinda.
Dr silaa baada ya kwenda kama mwanaume aliingia kufanya vibarua lakini wao wanataka walelewe na mafataki huko bila kazi,
wajichunge vinginevyo siku wakirudi nyuma watakua wanatoa moshi.
Mchagga yeye mawazo yake ni kupiga pesa tu, hata awe ulaya au Marekani. Kwani mkitumia mitandao , ambayo huko Mliko ni rahisi, hamtawafikia hao watu mnataka kuwapa hizo taarifa?Wanaukumbi.