Lema, upo Canada unaomba michango Tanzania

Inawezekana wamemuuza mwenzao aende SEGEREA ili wao wafanye FURSA.

CHADEMA na madili ni damu damu
 
Hawa wapuuzi si ndio wanaombaga wahisani wainyime tz misaada huko walipo? Wanadhani pesa ya mzunguko huku tz inatoka wapi? Akili za panzi hizi
 
Kama mageuzi yataletwa na watanzania wenyewe, lengo la kuzunguka duniani ni lipi sasa? Nasikia bawacha wamemshtaki Samia kwa balozi wa marekani.

Duh!
Dunia ni lazima ijue maana ya mapambano ni nini hata kama patakuwepo na wanaoendesha vibaraka kuzuia harakati za wananchi.
Hakuna 'contradiction' hapo.
 
Huyu jamaa Ritz Magufuli alimficha ninaona sasa ana tokea nadhani ni moja ya watu walio furahia kifo cha magufuli
 
Lema yupo sawa. mageuzi yana gharama na gharama zenyewe ndiyo hizi. Mimi nipo tiyari kuchangia hizi harakati
Ulaya maisha bila kazi ni magumu kuliko Tanzania. Mchangieni aweze kununua japo mkate.
 
🤣🤣🤣

Matapeli waliokuwa BONGO Sasa wako next level...

KIMATAIFA zaidi....ha ha ha
 
Acheni wazidi kujimaliza wenyewe kwa wananchi,
 
Nilipita DAMBWE moja kabla ya uchaguzi wa 2020 nikawakuta vijana wenzangu wanapanga listi ya serikali MPYA 🤣🤣

Niliishia kuwasha sigareti nikacheka na kusepa....

LISTI ILE......

1)Rais Tundu Lissu...🤣

2)Makamu Rais.....Salum Mwalimu 🤣

3)Waziri Mkuu......mh.Mbowe🤣

4)Waziri wa Fedha....God bless Lema ha ha ha 🤣🤣🤣🤣

Naishia hapa kwanza....
 
Anawaomba hela Watanzania,
Ili wakaichongee Serikali ya Tanzania,
Inyimwe hela na maisha yawe magumu zaidi kwa Watanzania,
Huku yeye akiwa nje ya Tanzania,
Akiangalia jinsi tunavyoangamia🐒
 
Acha wanachadema tuchange, wewe mataga hii haikuhusu.
 
Mchagga yeye mawazo yake ni kupiga pesa tu, hata awe ulaya au Marekani. Kwani mkitumia mitandao , ambayo huko Mliko ni rahisi, hamtawafikia hao watu mnataka kuwapa hizo taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…